FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kusoma siyo kuelimika.Kwake alishaeleza au ulikuwa jela haukuona chapisho/bandiko/andiko lake? Pia ukimtaja Bagonza(Phd) usisahau kuweke Phd huyo ni tofauti na mashehe wenu ubwabwa ambao shuleless.
Mimi naamini Masheikh wetu wameelimika kuliko askofu yeyote.
Binaadam gani aliyeelimika ataabudu mzungu? Fikiri.