Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Mashirika mengi na makampuni mengi ya serikali na chama hayana chembe ya professionalism. Yanaendeshwa kienyeji na yanakwenda hivo hivyo na kiunduhunaizesheni na kujuananaizesheni bila kusahau mapenzinaizesheniShirika linaendeshwa kienyeji, no professionalism at all.
Sababu kuu ya cancellations zisizo na kichwa wala miguu, ni kwamba, fleet zilizopo zipo busy na kuwazungusha watawala badala ya kuwahudumia wananchi.
Rais, Makamo wake, Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu na Makamo wa Rais Zanzibar watumie ndege za serikali, ndege za ATCL za abiria zitumike kubebea abiria.
Viongozi Kama wanapenda sana ndege, nawashauri wafuge kuku, bata, kanga na hata bundi iwapo wataweza
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app