Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

Mashirika mengi na makampuni mengi ya serikali na chama hayana chembe ya professionalism. Yanaendeshwa kienyeji na yanakwenda hivo hivyo na kiunduhunaizesheni na kujuananaizesheni bila kusahau mapenzinaizesheni

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Excuse ya kikuda kabisa hii

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ninashukuru kwa shule ila na mimi natumia ndege tofauti kwenda NY, London, Bangkok na nilipo sasa Yangon sijawahi ona ndege ambayo ina ubovu kama hii ya kwetu. Nashukuru kama umeridhika na hali tuliyonayo.
 
Ninashukuru kwa shule ila na mimi natumia ndege tofauti kwenda NY, London, Bangkok na nilipo sasa Yangon sijawahi ona ndege ambayo ina ubovu kama hii ya kwetu. Nashukuru kama umeridhika na hali tuliyonayo.

Mpaka sasa Tanzania ina ndege mbile tu za msafa marefu ya kiwango NY, London, na Bangkok, ambazo ni Boeing Dreamliner. Kwa sasa ndege hizo zinafanya safari za Guangzong na Mumbai tu, hazifanyi tena safari za ndani; wewe umezisafiria ukiwa unakwenda wapi ukakuta kuwa ni mbovu kama siyo kutaka kutengeza story za kupikwa tu. Halafu kuhusu Airbus 2230- 300 zilizoletwa Tanzania elewa kuwa hiyo ndiyo ilikuwa generation ya kwanza kabisa ya ndege hizo, na Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza Africa kuanza kuzitumia; sasai mtumba huo wa ndege ambazo hazikuwapo kabla ya hapo ungetoka wapi.

Kuna makosa makubwa kwa watanzania wanaodandia ndege mara moja moja kudhani kuwa ride ya ndege za truboprop ni sawa na ya ndege za jet; hapana. Jet zinaruka juu sana kama futi elfu 35 ambako hewa ni nyepesi wala hakuna mawingu sana, kwa hiyo huwa hazisumbuliwi sana na trubulence wakati nedeg za turboprop zinaruka kama futi elfu 25 tu ambako hewa bado ni nzito na zinakutana na mawingu mengi sana hivyo kuwa na mtikisiko mwingi sana. Mtu anayetumia ndege mara kwa mara anajua tofauti hizo, ila wale wanopanda ndege mara moja kwa mwaka hawawezi kujua tofauti hizo; yeye ataona kuwa ndege ni ndege tu bila kuelewa tofauti ya jet na truboprop.

Nadhani wengi hapa wanalalamikia turboprop zile bombardier kwani wanataka performance yake iwe kama ya jet.
 
Yaani mi sielewi kwanini SSH hataki kutimua huyu mkurugezi?, Mbona anaua ATCL wanamwangalia yaani hawana habari naye
Nasikia anasafiri na Dream liner kwenye nchi za majirani akijitambulisha. Nchi 5 kisah zimaliza, sasa ataanza jirani wa majirani. Wamuone buana!
 
Hizo ni ndege za CCM, kwa misafara ya viongozi wake, halifanyi kazi kibiashara. Safari inaweza cheleweshwa kwa sababu kafa wa CCM bado anaoga. Ukiamua kuzipanda it is at ur own risk.
 
Wanazidiwa hata na bajaji kwa kweli
 
Washukuru hakuna mahakama huru Tanzania, fidia zingewapa akili kutenda kwa nidhamu ya biashara.
 
Huyu nae tumemchoka,kwani kuahirishwa kwa ndege ndio leo kumeanza asiwasingizie wageni sijapata kuona askofu mbinafsi kama huyu, si apande basi au Air Precision, na huyu si ndio walikuwa wanasema mwendazake anatumia vibaya pesa kwa kununua hizi ndege, mara oh pesa zilizonunua ndege hazikupitishwa bungeni.
 
Mkuu si ndio mwendelezo wa mapendekezo hayo, mimi nimeweka vile na wewe umeendeleza, ndio utamu wa mwendelezo wa mawazo unavyokua. Hizo ndege tunazo zizungumzia hapa au magari tunayo yaona leo, hayakua hivyo mwanzoni, mgunduzi alitengeneza kwa namna tofauti na tulinayo sasa, watu wameendelea kufanya modifications hadi tumekua na ndege na magari ya kisasa, same same na mawazo.
 
Bado tunawaongezea zingine tano. Nchi ya ajabu sana hii.
 
Hilo ni jina la ATC tangu miaka ya 1980s; Any Time Cancellation au Air Total Confusion - ATC [Limited]
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…