Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:

IMG_20211022_231148_893.jpg

IMG_20211022_231209_815.jpg

IMG_20211022_231232_093.jpg

Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema:

IMG_20211022_231300_336.jpg

Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila inapowezekana.
 
Swali fikirishi hivi Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu awamu za viongozi wakuu wa nchi hivi wote hatuna akili timamu kuweza kutambua maana ya awamu za viongozi wa kuu wa nchi ya Tanzania Nadhani awamu hutokana na uchaguzi mkuu sasabasi iwe hivi:Ya awamu ya 4, ilihakikisha umoja wa kitaifa unakua
awamu ya 5, ya Rais wa 6 vyama vya siasa havikutani kujadili mambo ya kitaifa badala yake msajili wa vyama na polisi walikutana, ndiyo wasemaji wa vyama vya siasa ,hakuna kuimarisha ama kujenga umoja wa kitaifa
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.

Hukusikika kulalamika lakini ulipoombwa kumpa Gwajimaaa!

Au nasema uongo ndugu yangu?

Hapo tu ndipo panapo kuangusha mkuu 😁😁.
 
Back
Top Bottom