Niliongea toka zamani kwamba huu upumbavu wa wajinga,mtu akishakuwa Rais ni yeye hakuna ambae yuko tayari kuonekana ni mjinga ila haizuii Rais aliyepo kupiga simu au kuomba ushauri,hata aliyepita alikuwa anaomba ushauri kwa baadhi ya mambo kwa JK,hili aliongea JK mwenyew wakati wa msiba wa Mwendazake..
.Tena akaongezea kwamba wakiombwa ushauri sawa wasipoombwa napo ni sawa wataendelea na maisha yao..JK ana shughuli nyingi za kufanya Afrika na Duniani Sio sawa na Sumaye anatangatanga maana hana pa kufanya.