Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

Kamanda Bagonza sijui 2025 atachukua fomu kugombea jimbo gani huko kagera? Chadema inaweza kuwa na matumaini ya ushindi

Vipi Gwajiboy 2025 ataamua kurejea kwenye ile kazi yake ambayo ni ya hadhi juu mno kuliko hata urais wa nchi?

Kumtumikia Mungu waweza linganisha na kutumikia watu? Thubutu!

Hiiiiii bagosha!
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Utakuwa na matatizo wewe, vipi ukiona wanasiasa wakileta siasa zao uchwara kwenye nyumba za ibada mapengo yote 32 unayakenua au vipi? Yaani unachunga kondoo halafu kila siku mara baadhi wamepotea au kupata misuko suko wewe kimya tuu mpaka waishe wote siyo? Halafu utakuwa unachunga mawe siyo?
 
Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:

View attachment 1983684

View attachment 1983686

View attachment 1983687

Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema:

View attachment 1983688

Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila inapowezekana.
Mie naongezea. Bagaonza na wenzako wanaojificha kwenye majoho anzisha chama badala ya kujiingiza kwenye siasa kwa mlango wa nyuma. Kikwete alikuwa bomu kuliko rais yeyote aliyewahi kuumbwa. Alikuwa rahisi na siyo rais. Alikuwa mzururaji na mtupu upstairs.
 
Umechukizwa na ukweli aliosema?

Ukiacha umalaya wako wa kisiasa pembeni ,ukiacha kulamba miguu ya watu ili ule utaelewa vizuri.
 
Umechukizwa na ukweli aliosema?

Ukiacha umalaya wako wa kisiasa pembeni ,ukiacha kulamba miguu ya watu ili ule utaelewa vizuri.
Kwa msengeee kama wewe ni rahisi kusema usemayo. Hakuna malaya wa kisiasa kama viongozi wa kiroho wenye uroho wanaojifanya wakosoaji wakati ni wezi kwa waumini wao. Mwl Nyerere alitufundisha kutochanganya dini na siasa. Huwezi tumikia mabwana wawili kwa usawa. Umeelewa fwaki you kuku?
 
Vipi Gwajiboy 2025 ataamua kurejea kwenye ile kazi yake ambayo ni ya hadhi juu mno kuliko hata urais wa nchi?

Kumtumikia Mungu waweza linganisha na kutumikia watu? Thubutu!

Hiiiiii bagosha!
Kamanda Bagonza akigombea na kushinda atakuwa ngoma droo na gwajiboy!
 
Kwa msengeee kama wewe ni rahisi kusema usemayo. Hakuna malaya wa kisiasa kama viongozi wa kiroho wenye uroho wanaojifanya wakosoaji wakati ni wezi kwa waumini wao. Mwl Nyerere alitufundisha kutochanganya dini na siasa. Huwezi tumikia mabwana wawili kwa usawa. Umeelewa fwaki you kuku?
Acha matusi jenga hoja ,Pinga au kubali hoja za askofu.,Ninajua huna Elimu na uwezo wa kujenga hoja unacho kiweza na umalaya wa kisiasa hapo Lumumba.
 
muacheni JK aka mzee wa saigon apumzike bwana, anaijui hii nchi kuliko nyie akina Bagonza na senema zenu zisizoelewa...
 
Askofu Bagonza amesema UKWELI.
2969622_images_9.jpeg
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
✓Viongozi wa dini ni wananchi kama wengine!
✓Viongozi wa dini wanaongoza wenye itikadi na wasio na itikadi za kisiasa!
✓Viongozi wa dini ni kimbilio kwa wanasiasa na wasiokuwa wanasiasa mambo yanapokuwa magumu!
✓Viongozi wa dini wanatakiwa kuwa wa kweli na kuwaongoza waumini wao katika ukweli!
✓Viongozi wa dini wanatakiwa kukemea maovu bila unafiki na upendeleo!
✓Viongozi wa dini wanapaswa kujihusisha kikamilifu na siasa kwa sababu siasa hutumika kufanya maamuzi ya uendashaji wa nchi ambayo yanaathari kwa waumini!
✓Viongozi wa dini wanapaswa kusimama kidete ili wapatikane viongozi wa kisiasa wenye utashi na nia ya dhati kuwatumikia wananchi ambao ni waumini wao!
✓Viongozi wa dini wanaosapoti wanasiasa waovu, wenye hila, wanafiki na wakandamizaji ni wabaya sana kwa mustakabali wa Ustawi wa waumini wao na jamii nzima!
✓Kama wanavyosisitiza waumini wao kuishi kwa ukamilifu na uadilifu; hawana budi kuishi uadilifu na kuwaambia ukweli wanasiasa!
✓Siasa inatakiwa ishikamane pamoja na hofu ya Mungu ambayo inahubiriwa na viongozi wa dini!
Viongozi wa dini ndumilakuwili ni wasaliti wa imani wanayoisisitiza kwa waumini wao!

Hitimisho:
Dini, waumini na viongozi wake ni sehemu ya siasa za nchi husika!
 
Ni mtazamo wako wewe CCM Ni hivi chochote kinacho ponya kinaumiza.Ingekuwa hero leo mgesikia SAUTI ya Mungu.Magufuli alikuwa na shingi ngumu zaidi ya Paulo!!Kuna wanao sema pia Kardinali Pengo ni CCM bado ni mtazamo wao.Ninacho kiamini ni kuwa wote ni makuhani na kazi ya Kahani ni kukemea uovu
Ukiona waovu wanaogopa kukemewa au wanachagua nani wa kuwakemea na jinsi wanavyopaswa kukemewa haraka haraka Fahamu kuwa kuna Nia ovu nyuma ya pazia!
ccm imejawa na uovu mwingi! Ukisema uovu wao unakuwa adui!
 
Yaaani mimi huwa mawashangaa kikwete ana lipi la maana zaidi ya uswahili wa kipuuzi na ujinga!
Mie naongezea. Bagaonza na wenzako wanaojificha kwenye majoho anzisha chama badala ya kujiingiza kwenye siasa kwa mlango wa nyuma. Kikwete alikuwa bomu kuliko rais yeyote aliyewahi kuumbwa. Alikuwa rahisi na siyo rais. Alikuwa mzururaji na mtupu upstairs.
 
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.

Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Mama Lwakatare RIP
Askofu Gwajima
 
Acha matusi jenga hoja ,Pinga au kubali hoja za askofu.,Ninajua huna Elimu na uwezo wa kujenga hoja unacho kiweza na umalaya wa kisiasa hapo Lumumba.
Mkumbaff mkubwa. Unanijua vizuri kusema eti sina elimu mbwakoko wee. Nijenge hoja gani wakati huna hoja yoyote ya kutolea hoja wala kutumia akili?
 
Back
Top Bottom