inakuhusu nini mzee
inakuhusu nini mzee
Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
mkuu inaonekana wapenda majibizano tuu..Ni pongezi tu mkuu [emoji16][emoji16]
shukrani kwa hili pia....
Yani mkuu wewe unajiita shetani halafu tena unataka utoe ushauri mzuri kwa viongozi wa dini!πNikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
Maisha ni siasa,mfano tozo zinamgusa kila mtu 'injustice for you is indirect justice to all "Nikisikia kiongozi wa dini anajihusisha na masuala ya siasa huwa nakwazika sana.
Sana sana nafarijika napoona anahimiza waamini wajikite katika kufuata misingi yote pasipo kuvunja sheria za nchi.
mkuu inaonekana wapenda majibizano tuu..
Yani mkuu wewe unajiita shetani halafu tena unataka utoe ushauri mzuri kwa viongozi wa dini!π
Aende huko na ushetani wake.Yani mkuu wewe unajiita shetani halafu tena unataka utoe ushauri mzuri kwa viongozi wa dini!π
Vipi umeshawahudumia mabeberu wa huko denmark?