PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata mimi namshangaa anaposema uongo eti Samia ni kipenzi cha wananchi vijijini!
Ok sawa umemshangaa Askofu Bagonza sasa ni zamu yako kujishangaa ww ulipenda aseme Samia ni kipenzi cha wananchi wapi?
 
3. Rais Samia ni kipenzi cha watu vijijini. Kutoshughulikia madai ya maboresho au kutokaa mezani, kunaweza kuwaamsha waliolala na kuhoji kulikoni.
Nilitaka kukuita 'mwongo', nikakumbuka wewe ni askofu.

Kuna mengine yasiyo na uhalisia katika andiko hili; lakini najuwa ilikuwa ni namna ya kulinganisha mizani ya maoni tu ili mwandishi asionekane kulalia upande mmoja.

Lakini kinacho shangaza zaidi ni kutambua kwamba hata ile CCM anayoikumbuka Askofu, yeye hajui CCM hiyo ni dubwasha tu sasa hivi linalotumiwa na GENGE linalomuuza Samia kwa bei yoyote ile.
 
Hivi Askofu akisema uongo kama Bagonza dhambi zake huwa anaenda kuungama wapi?

Na hapa utasema ni uongo kwamba hili daraja limejengwa na mbunge wa ccm na ligharimu mamilioni ya pesa.
 
View attachment 3372330
Na hapa utasema ni uongo kwamba hili daraja limejengwa na mbunge wa ccm na ligharimu mamilioni ya pesa.
Huo ni ukweli sababu hadi ushahidi wa wazi kabisa umewekwa hata ukitaka kuhakiki .Hata mtu ukiongea kuonyesha kuwa hapo kuna ufisadi unaongelea kitu chenye ushahidi tofauti na huo uongo wa Bagonza
 
Huo ni ukweli sababu hadi ushahidi wa wazi kabisa umewekwa hata ukitaka kuhakiki .Hata mtu ukiongea kuonyesha kuwa hapo kuna ufisadi unaongelea kitu chenye ushahidi tofauti na huo uongo wa Bagonza
Ndio maana mnaliwa sana.
 
Mwamba Ana fiksi sana 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…