PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii?

Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu.

Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka maoni yangu:
———//——-

Baba Askofu Shikamoo Mzee wangu,Bwana YESU Asifiwe.
Baba Mimi ni mjukuu wako katika Imani.Nina ndoto yangu naomba uipokee,uiboreshe na uiwasilishe kunako ili tuendelee kulikomboa taifa ili linaloelekea kusikojulikana kama Wasiojulikana walivyoliteka.

(Binafsi Mimi ni Muumini wa siasa na mwanachama wa muda mrefu wa CCM asiyeyumbishwa.

"Ndoto yangu". Viongozi wa serikali waache kupiga kelele mitandaoni kujibu au kuwatisha vijana juu ya movement ya "No reform no election"inayoendelea mitandaoni.

Serikali sikivu inapaswa kufahamu comments zote za no Reform ni Watanzania wote, wanaccm kwa wapinzani". Ili wawezr kufaulu hii v changamoto naona waje na wazo la kukusanya maoni juu ya movement hii kuona Watanzania wanasemaje juu ya maboresho ya katiba na mapungufu yote ya uchaguzi yanayobebwa na kauli mbiu hii.

Watoe nafasi ya kidemokrasia watu tuamue kama uchaguzi ufanyike au la. Wasitumie nguvu bila kushirikisha akili, Mimi
binafsi na wanaccm wengi tunapenda hayo maboresho ili haki ikatendeke. Tumechoka kuonekana ni
Wezi wa kura kila wakati. Hata polisi wanaotubeba siku hizi wameanza kutubeza na kututukana hadharani.

Mungu aendelee kuwapigania Viongozi wetu wa kidini na muendelee kuiponya nchi inapoonyesha kuyumba.
—-//—-

My take:

1. Hata kwa maboresho na reforms zinazodaiwa, CCM ina nafasi kubwa ya kushinda.

2. Kuwazuia wapinzani kufanya siasa kwa uhuru, kunayapa madai yao uzito. Kiongozi mmoja wa CCM wa juu anayekerwa na kelele hizi ameniandikia, “kama tunaengua chama kizima, tutashindwaje kuengua wagombea?”

3. Rais Samia ni kipenzi cha watu vijijini. Kutoshughulikia madai ya maboresho au kutokaa mezani, kunaweza kuwaamsha waliolala na kuhoji kulikoni.

4. CCM imeonja kuongoza peke yake miaka hii mitani (5) inayoisha. Hekima na uzoefu vimetuonyesha kuwa ushirikiano au kuwa na wapinzani katika ngazi zote ni afya ya nchi.

5. Wenye jicho la ziada wanaona upinzani una uwezo mkubwa sana wa kujiharibia kwa tamaa na kukosa nidhamu ya kimkakati. Kuwaharibia kwa kuwafunga, kuwanyima ruzuku na kuwaengua ni kununua kesi ndogo kwa bei kubwa.

6. Vitendo vya utekaji vimewapa fursa wapinzani na kuchafua rekodi ya serikali. Watu hawajui kuitenga serikali na vitendo hivi. Hekima inadai serikali ijitenge navyo na ionekane IMEJITENGA NAVYO.

7. CCM iamke na kujitetea yenyewe. Ina mgombea tayari. Imtafutie kura badala ya yeye kujitafutia na kuwatafutia kura wabunge na madiwani. CCM isiwategemee Polisi maana hao ni ndumila kuwili. Walimpigia saluti mkoloni; alipoondoka wakampigia Kambarage.

8. Yeyote anayelitakia mema taifa letu, ASIHOJI uhuru wetu wa kuabudu. Vinginevyo tangazeni jumapili, ijumaa na jumamosi ziwe siku za kazi, tujenge uchumi. Kama hatuheshimu madhabahu, tutaheshimuje sanduku la kura lenye kura? Na hazina zetu je zitakuwa salama? Usalama wa ujengwe katika HOFU YA MUNGU.
Hivi ukipokea ujumbe kutoka Kwa Mpina au GWAJIMA na wale wanapenda kuangukia pua kwenye Ubunge Kuna la kushangaza hapo? 😁😁

Wasira amemaliza Kila kitu

View: https://www.instagram.com/p/DK-P8nJiQoS/?igsh=c3FoZHJ0NjZ2dHow
 
Huyo askofu aache upuuzi, ye amekuwa jukwaa la huyo mmbwa asiyekuwa na sifa ya kuwa mwana-CCM? Ndio maana sk hz ht maaskofu wanadharaulika
 
HIvi haumuwezi kujenga hoja zenu bila kuyaalika haya mabumunda? Hii inanipa kuiamini kwamba ninyi Kwa pamoja ni comedians ndio maana mnaalikana!
Kengee sio mabumunda kuna video za huyu rais wa tansania maana wa Tanzania kahama kitengo yupo wa tansania
 
Binafsi kwangu ndio vizuri maana Sasa ndani ya CCM watakuwa wanatuletea Kiongozi makini zaidi kama ilivyo CCP ya China.
Lakini Tanzania Ilishindwa Ujamaa Au Umesahau?
Communist Ideology ilishindwa Mpaka mwaka 1985 Nchi ilikuwa Hoi Mpaka Tulipoamua Kuchange sera na Siasa..
Kama Ulikuwa Umekwisha Zaliwaa utanielewa zaidi..
 
KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii?

Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu.

Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka maoni yangu:
———//——-

Baba Askofu Shikamoo Mzee wangu,Bwana YESU Asifiwe.
Baba Mimi ni mjukuu wako katika Imani.Nina ndoto yangu naomba uipokee,uiboreshe na uiwasilishe kunako ili tuendelee kulikomboa taifa ili linaloelekea kusikojulikana kama Wasiojulikana walivyoliteka.

(Binafsi Mimi ni Muumini wa siasa na mwanachama wa muda mrefu wa CCM asiyeyumbishwa.

"Ndoto yangu". Viongozi wa serikali waache kupiga kelele mitandaoni kujibu au kuwatisha vijana juu ya movement ya "No reform no election"inayoendelea mitandaoni.

Serikali sikivu inapaswa kufahamu comments zote za no Reform ni Watanzania wote, wanaccm kwa wapinzani". Ili wawezr kufaulu hii v changamoto naona waje na wazo la kukusanya maoni juu ya movement hii kuona Watanzania wanasemaje juu ya maboresho ya katiba na mapungufu yote ya uchaguzi yanayobebwa na kauli mbiu hii.

Watoe nafasi ya kidemokrasia watu tuamue kama uchaguzi ufanyike au la. Wasitumie nguvu bila kushirikisha akili, Mimi
binafsi na wanaccm wengi tunapenda hayo maboresho ili haki ikatendeke. Tumechoka kuonekana ni
Wezi wa kura kila wakati. Hata polisi wanaotubeba siku hizi wameanza kutubeza na kututukana hadharani.

Mungu aendelee kuwapigania Viongozi wetu wa kidini na muendelee kuiponya nchi inapoonyesha kuyumba.
—-//—-

My take:

1. Hata kwa maboresho na reforms zinazodaiwa, CCM ina nafasi kubwa ya kushinda.

2. Kuwazuia wapinzani kufanya siasa kwa uhuru, kunayapa madai yao uzito. Kiongozi mmoja wa CCM wa juu anayekerwa na kelele hizi ameniandikia, “kama tunaengua chama kizima, tutashindwaje kuengua wagombea?”

3. Rais Samia ni kipenzi cha watu vijijini. Kutoshughulikia madai ya maboresho au kutokaa mezani, kunaweza kuwaamsha waliolala na kuhoji kulikoni.

4. CCM imeonja kuongoza peke yake miaka hii mitani (5) inayoisha. Hekima na uzoefu vimetuonyesha kuwa ushirikiano au kuwa na wapinzani katika ngazi zote ni afya ya nchi.

5. Wenye jicho la ziada wanaona upinzani una uwezo mkubwa sana wa kujiharibia kwa tamaa na kukosa nidhamu ya kimkakati. Kuwaharibia kwa kuwafunga, kuwanyima ruzuku na kuwaengua ni kununua kesi ndogo kwa bei kubwa.

6. Vitendo vya utekaji vimewapa fursa wapinzani na kuchafua rekodi ya serikali. Watu hawajui kuitenga serikali na vitendo hivi. Hekima inadai serikali ijitenge navyo na ionekane IMEJITENGA NAVYO.

7. CCM iamke na kujitetea yenyewe. Ina mgombea tayari. Imtafutie kura badala ya yeye kujitafutia na kuwatafutia kura wabunge na madiwani. CCM isiwategemee Polisi maana hao ni ndumila kuwili. Walimpigia saluti mkoloni; alipoondoka wakampigia Kambarage.

8. Yeyote anayelitakia mema taifa letu, ASIHOJI uhuru wetu wa kuabudu. Vinginevyo tangazeni jumapili, ijumaa na jumamosi ziwe siku za kazi, tujenge uchumi. Kama hatuheshimu madhabahu, tutaheshimuje sanduku la kura lenye kura? Na hazina zetu je zitakuwa salama? Usalama wa ujengwe katika HOFU YA MUNGU.

Bila Reform hata huko ndani ya CCM itakuwa shida kugombea na kupita. Akina Lukas wataendelea kuwa Chawa mpaka wanazeeka.
 
Huyu Askofu huwa ana kichwa kipana, halafu kikubwa, sijui kama shingo yake huwa haichoki kukibeba
 
Back
Top Bottom