PreGE2025 Askofu Bagonza: Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka kwa Mwana CCM, Nao wanataka Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi ukipokea ujumbe kutoka Kwa Mpina au GWAJIMA na wale wanapenda kuangukia pua kwenye Ubunge Kuna la kushangaza hapo? 😁😁

Wasira amemaliza Kila kitu

View: https://www.instagram.com/p/DK-P8nJiQoS/?igsh=c3FoZHJ0NjZ2dHow
 
Huyo askofu aache upuuzi, ye amekuwa jukwaa la huyo mmbwa asiyekuwa na sifa ya kuwa mwana-CCM? Ndio maana sk hz ht maaskofu wanadharaulika
 
HIvi haumuwezi kujenga hoja zenu bila kuyaalika haya mabumunda? Hii inanipa kuiamini kwamba ninyi Kwa pamoja ni comedians ndio maana mnaalikana!
Kengee sio mabumunda kuna video za huyu rais wa tansania maana wa Tanzania kahama kitengo yupo wa tansania
 
Binafsi kwangu ndio vizuri maana Sasa ndani ya CCM watakuwa wanatuletea Kiongozi makini zaidi kama ilivyo CCP ya China.
Lakini Tanzania Ilishindwa Ujamaa Au Umesahau?
Communist Ideology ilishindwa Mpaka mwaka 1985 Nchi ilikuwa Hoi Mpaka Tulipoamua Kuchange sera na Siasa..
Kama Ulikuwa Umekwisha Zaliwaa utanielewa zaidi..
 

Bila Reform hata huko ndani ya CCM itakuwa shida kugombea na kupita. Akina Lukas wataendelea kuwa Chawa mpaka wanazeeka.
 
Huyu Askofu huwa ana kichwa kipana, halafu kikubwa, sijui kama shingo yake huwa haichoki kukibeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…