The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Anahujumiwa Lissu au nani?
Mzee kalikawe anaejaribu kuchochea chuki binafsi ya nini kwa wanachadema ndrugu zango? sijamuelewa 🐒
Tangulia milembe hospital mapema kabka hali yako ya afya ya akili isijekuwa more worseMzee kalikawe anaejaribu kuchochea chuki binafsi ya nini kwa wanachadema ndrugu zango? sijamuelewa 🐒
Asanti kwa ufafanuzi muhimu sana gentleman, umeongea kwa uchungu mwingi sana aise 🐒Tangulia milembe hospital mapema kabka hali yako ya afya ya akili isijekuwa more worse
We kunguru wa Pemba tokelezea tuone hasira zako, nyie mnaotaWasipime hasira za watanzania
Anajaribu kuepusha Amani isitowekeMzee kalikawe anaejaribu kuchochea chuki binafsi ya nini kwa wanachadema ndrugu zango? sijamuelewa [emoji205]
Anajihujumu mwenyewe wala hahujumiwi na MTU
TayariMwamakula bado hajatia neno hapo!
Mungu yupo