Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Mbona ameshadhulika tayari, umefanya nini'?!!! Siku ya ngapi Leo hajaliona jua? Sio athari hiyo?!!!Ole wao adhulike
Mbona ameshadhulika tayari, umefanya nini'?!!! Siku ya ngapi Leo hajaliona jua? Sio athari hiyo?!!!Ole wao adhulike
Duh masikini Tanzania duh, tunaanza kufananishwa na kina museven
hakuna wakukinukisha, heche kapiga misele nachingwea kaona anapotea kaja dar amepita mbezi mbagala temeke tandika keko machungwa hamna anaemwelewa, mitaa yote ina barabara za zege maji ndo usiseme, mgao wa umeme hamna, zahanati kila mtaa, vijana wote wanabodaboda nawengine wanasukuma michuma ya dp world, masaa ishirini na nne wanazungusha contena bandarini,Bosi vipi tena ? Unaogopa kikinuka utakuwa hau-enjoy na kula good time ya maisha nini. Tenda haki kwanza ndio mambo mengine ya kula good time yatakuwa sawa Mheshimiwa Boss
R I P Thadei Ole MushiHuyo ni taka taka tu na mkimbizi
Ngoja Lisu mwenyewe atoke ndiyo utamuelewaMzee kalikawe anaejaribu kuchochea chuki binafsi ya nini kwa wanachadema ndrugu zango? sijamuelewa 🐒
Machawa lazima mumtetee, ila ukweli hatoshi.mama yupo saaaaaana Hadi 2030. Njia nyeupeeeeee.
Haters lazima mumchukiae, lakini ukweli ni kwamba anatosha sana ndo maana mpaka mnapata muda wa kumkosoa na kumdhihaki mupendavyo.Machawa lazima mumtetee, ila ukweli hatoshi.
Siihesabu km athali hiyoMbona ameshadhulika tayari, umefanya nini'?!!! Siku ya ngapi Leo hajaliona jua? Sio athari hiyo?!!!
Ila wewe unayejiita Askofu Bagonza una bahati sana upo nchi ya amani Tanzania na sio kwenu Burundi!
Chawa nakurudisha kwenu zambiaR I P Thadei Ole Mushi
Keko ipi wakati magereza wamekanushaWalianzisha uvumi wa Lissu haonekani haonekani wakati yupo Keko rumande akingoja tarehe yake kama wenzake walioko nae mahabusu.