PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama wanajua alipo na hawasemi ni kosa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watanzania wanaipenda sn nchi yao ila wanauchukia sana mfumo wa utawala uliopo.Hauna ridhaa ya Watanzania.
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ADUI MKUU WA TAIFA
 
We kunguru wa Pemba tokelezea tuone hasira zako, nyie mnaota
Shida ya wajinga wapuuzi na wapumbavu kama nyie mna wa underestimate sana watanzania ila SIKU wakismka kila mmoja wetu atakuwa mhanga piteni na sigara kwenye mapipipa ya gesi na petroli.
 
Huyu askofu kwa kubadili majina sina hamu wanangu. Wanaomjua akiwa sekondari aliitwa Andrew Chombo. Baadaye akawa Benson Bagonza. Kabla ya vumbi kutua, sasa anaitwa Kalikawe Lwakalinda Bagonza. Sijui kesho ataitwa nani.
WASIOJULIKANA HAO
 
kuna mahabusu wangapi wako magerezani na hawajawahi uliza wako wapi tuache unafiki, huyu ni mahabusu sawa na mahabusu wengine, hii nchi tukichekeana itakuja geuka kongo, Lissu wamwache afanye siasa zake na akikiuka sheria akamatwe na ashitakiwe kwa jinai aliyotenda, tusigeuke pilato wa kuogopa kelele za watu, sisi mbona hatujauliza pengo yuko wapi kwenye misa ya ijumaa kuu hatujamwona.
 
Reactions: Tui
Bosi vipi tena ? Unaogopa kikinuka utakuwa hau-enjoy na kula good time ya maisha nini. Tenda haki kwanza ndio mambo mengine ya kula good time yatakuwa sawa Mheshimiwa Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…