Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

Ila kwenye miamala kama no dudu limetuingia kwwli watanzania

Hakuna kuhema wa hakuna kuchomoa
 
Yani tozo,mbowe,chanjo sijaelewa kabisa imekuwaje?

Kuna jambo litatokea,moyo wangu umeshaanza kuona jambo mbele ya safari.

Mfikishieni hili ono samia
 
Take a chill pill.
 
Rais yuko Rwanda 😀😀😀
 
CCM imechanganyikiwa na Bagonza kachanganyikiwa. Sasa wanatuchanganya halafu nao wanajichanganya. Ama kweli, wakati mkirumbana kirusi kinavyekfa. Si muachane na kutunishiana misuli mkomboe watu wetu.
 
Bibi keshaanza kuchemsha mapeeeeeema.

Na akitaka atoke alipo amtoe KATIBU MKUU KIONGOZI ALOPO SASA.
HUYU BWANA MHHHHHHH MALIZENI KUJAZA
 
Heshima kwako Baba Askofu Bagonza.Umeongea ukweli na kuthibitisha hilo tazama/someni mabandiko ya CCM kukujibu.Wanaweza hata kumtusi Baba Askofu kwa ukosefu wa nidhamu na kutokujali kwao Wananchi.
Wanajidai kuwatumikia wanyonge huku wakiwaumiza Wananchi wasio na hatia.
 
Ni watu wenye akili tu ndiyo huweza kuwajua wenye akili.
Ni wale wenye akili tu ndio huweza kuwaelewa watu wenye akili kubwa kama Askofu Bagonza. Wewe huwezi kumuelewa au umemwelewa lakini unapotosha makusudi.
 

nawaonea huruma sana washarika wa huyu askofu
 
Reactions: Ame
Yaani wewe na akili zako unaamini maelezo ya Polisi kuwa Mbowe ni gaidi alitaka kulipua vituo vya petrol station? —Wakati mwingine uwe unatumia common sense
Usinichokoze.

Mie nasema kwamba hiyo tuhuma ni ndogo. Kuna kubwa zaidi. Kwa mfano, Mbowe alifadhili matukio ya ughaidi wa mabomu ya Olasiti Arusha.

Watu kadhaa walikufa. Msimamizi Mkuu wa ughaidi huo alikuwa mwanachadema aitwaye Mohammed Mtoi.

Upelelezi wa kipolisi ulikuwa unaendelea. Lakini Mbowe akaagiza Kurugenzi ya usalama ya Chadema kuharibu uchunguzi kwa kuua mhusika muhimu--Mohammed Mtoi. Mtoi aliuawa kwenye ajali ya gari.

Mwenzake na Mtoi--Renatus Mulashani (Pichani)--aliyekuwa naye katika gari siku hiyo alinusurika kifo lakini mguu ulivunjika na kutibiwa kwa zaidi ya Mwaka.

Hili ni tukio moja tu. Kuna matulio mengi kama haya yaliyotekelezwa na wafuasi wa Chadeama chini ya ufadhili wa Mbowe.

Kwa ufupi, Mbowe anafadhili ughaidi. Najua, naelewa na kuamini hivyo. Polisi hawajamwonea. Shikeni adabu zenu msije mkaumbuka wote.

Mbowe-is-a-Terrorist.


Renatusi Mulashani--aliponea chupuchupu kwenye ajali ya kupangwa iliyochukua uhai wa Mohammed Mtoi.
 
Nasikia kama sauti ya Madelu.
Kumbe mama amon ndiye Madelu!

Wale mlioko kwenye maombi ya novena kazeni hapo hapo. Mungu atajibu wala hatakawia.
 
Jukumu letu ni kuchochea maombi na kuzidi kumkumbusha Mungu ombi letu
 
Kiongozi wa dini ni sauti ya Mungu ndani ya wanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…