Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Aligombea, jina likaondolewa kimizengwe.Huyu alifaa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT
AlikatwaAligombea, jina likaondolewa kimizengwe.
Askofu Yuko sahihi sana. Ila akumbuke kwa harakati yeyote ile, lazima pawepo na kiongozi. Chadema immejitoa kuongoza"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Ahubiri ufamle wa mbinguni aachane na siasa."Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
uchaguzi mkuu wa wa Mkuu wa KKKT au?"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Malasusa aliwekwa na dola na ni afisa kipenyo na kada wa CCM.Huyu alifaa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT
Ni sahihi"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Kwani Siasa maana yake Nini?Ahubiri ufamle wa mbinguni aachane na siasa.
Siasa na dini wapi na wapi
Kwani ni nini 😂😁 siasa na dini ni mafuta na maji.Ni sahihi
Kwani Siasa maana yake Nini?
CCM waliweka mkonoAligombea, jina likaondolewa kimizengwe.
Kanisa limemshinda muda mwingi yupo LumumbaMalasusa aliwekwa na dola na ni afisa kipenyo na kada wa CCM.
mbe huyu mzee nae ubongo wake unaanza kuzeeka!Uongozi wa Trump ni wa kibabe kivip labda!?Kwamba Trump anabeza demokrasia!??Is he real mentally stable huyu mzee?..Anyway"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Ni mwanasisa aliejificha kwenye dini hafai kabisa huyu MzeeAligombea, jina likaondolewa kimizengwe.
Sasa nani mwingine anayadai."Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Mwambie Yule Jamàa wa KAWE aliyeahidi kupeleka Watu Ulaya......Ahubiri ufamle wa mbinguni aachane na siasa.
Siasa na dini wapi na wapi