Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hivi kama Uaskofu wake HAUNA kustaafu; ana uhalali gani wa kuzungumzia kuhusu demokrasia?Huyu alifaa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama Uaskofu wake HAUNA kustaafu; ana uhalali gani wa kuzungumzia kuhusu demokrasia?Huyu alifaa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT
Ila wakisifia watawala wasiache siasa.Ahubiri ufamle wa mbinguni aachane na siasa.
Siasa na dini wapi na wapi
Hata wale wengine walikua hivyo;lakini walipo anza kuitwa magogo wakabadilika kabisaa 😉 😉😉Huyu alifaa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT
Lakini Je Chama cha Queen Sendiga kinawezaje kudai mfumo wa haki wa Uchaguzi?"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."
Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Pale unapochang'anya siasa na Dini , haiwezi kuwacha salama.Kwani ni nini 😂😁 siasa na dini ni mafuta na maji.
Uaskofu sio cheo cha kiutawala, bali ni utumishi wa kanisa. Usichanganye utawala na huduma.Hivi kama Uaskofu wake HAUNA kustaafu; ana uhalali gani wa kuzungumzia kuhusu demokrasia?
Ahahahahaha! Maaskofu wa Kanisa Moja Katoliki la Mitume uchaguliwa moja kwa moja na Papa. Na anatakiwa kustaafu akifikisha miaka 75.Uaskofu sio cheo cha kiutawala, bali ni utumishi wa kanisa. Usichanganye utawala na huduma.
Huyu hata utawala wa dictetor Magu alitishiwa mpk uraia wake lakini hakurudi nyuma, siyo mtu wa kulamba asaliHata wale wengine walikua hivyo;lakini walipo anza kuitwa magogo wakabadilika kabisaa 😉 😉😉
Katiba ya nchi inasemaje? Askofu mwisho miaka 70, sijui unataka kusemaje?Hivi kama Uaskofu wake HAUNA kustaafu; ana uhalali gani wa kuzungumzia kuhusu demokrasia?
Me nawaambia watu awaelewi najua wataelwa siku moja kuwa haya mambo ayatakiwaPale unapochang'anya siasa na Dini , haiwezi kuwacha salama.
Angalia enzi za Yesu, ilibidi walimu wa dini waungane na wanasiasa wa serikali ya kirumi kumwangamiza Yesu. Very soon, Hata USA, sasa dini-dhehebu wamepewa ofisi kule white House, subiri utasikia bomu litakavyolipuka maana jambo hili haliwezi kuwacha salama.
Ni kwamba dini na siasa ni mafuta na maji ukivuchanganya utasikia mlipuko mwisho wa kunukuuIla wakisifia watawala wasiache siasa.
Dini na siasa aviingiliani me naona kamchezo sikuizi kamezuka viongozi wa dini wanaanza kujipa ujiko badala ya kutangaza ufalme wa Mungu na wengi wameenda mbali na kuanza promotion za vyama vya siasa.Mwambie Yule Jamàa wa KAWE aliyeahidi kupeleka Watu Ulaya......
Matapeli ni wengiHivi kama Uaskofu wake HAUNA kustaafu; ana uhalali gani wa kuzungumzia kuhusu demokrasia?
Dini ndio siasa kongwe kuliko zote, hujui lolote.Ahubiri ufamle wa mbinguni aachane na siasa.
Siasa na dini wapi na wapi
Nani kakudanganya maaskofu hawastaafu?Hivi kama Uaskofu wake HAUNA kustaafu; ana uhalali gani wa kuzungumzia kuhusu demokrasia?
Duh!Katiba ya nchi inasemaje? Askofu mwisho miaka 70, sijui unataka kusemaje?
Kwakweli!Matapeli ni wengi
Dogo umefuatilia posts zangu vizuri au umekurupuka?Nani kakudanganya maaskofu hawastaafu?
Askofu Pengo yuko wapi?
Jibu hoja acha uoga.Ahubiri ufamle wa mbinguni aachane na siasa.
Siasa na dini wapi na wapi
Huko ni kumuogopa, kwani kuna sheria aliyoivunja?.Viongozi wa dini wanaanza kupuyanga na kuingia kwenye siasa na sio jambo sahihi