Pre GE2025 Askofu Bagonza: Madai ya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi yasimilikiwe na chama chochote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."

Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Kama kuna watu wanatamani Magufuri arudi basi wamfuate uko aliko.
 
Dini ndio siasa kongwe kuliko zote, hujui lolote.

Jifunze historia ya chimbuko la Islamic state, na crusade war.
Sitaki history.
We kasome mwenyewe dini sio siasa tena katubu kusema huo upuuzi wako.

Nimewaambia toka mwanzo if kama kuongozi wa dini anaanza kujipambanua kisiasa huo ni analeta na kufanya makundi kwenye sehem anayohudumu.

Makanisa/Misikiti
Inabeba watu wa kila aina so kwa kufanya hayo ni kuleta makundi na chuki ata kujiweka hatari.

Utajiingizaje kiongozi wa dini kwenye siasa ya Kaiser mwachie Kaiser na ya Mungu mpe Mungu.

Dini na siasa ni mafuta na maji.
Tusijimixx by YAs 🔥🔥🔥🔥🔥😁😂😂
 
"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."

Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Kanisani kwake kwenyewe hakuna demokrasia, Malasusa amerudi awamu ya 3 kwanini asiwe yeye? Apambane na uovu ulioko kanisani kwake
 
Asante sana Askofu Bagonza.

Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi yanapaswa kuwa ya Watanzania wote.
Ni sahihi, shida ni kwamba kuna jukwaa maalumu la wote?. isijekuwa ni propaganda za ccm kurudisha nyuma harakati za vyama vya siasa.
 
Asante sana Askofu Bagonza.

Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi yanapaswa kuwa ya Watanzania wote.
Umesema vyema, ila watanzani wote hapana, hao wako kimya, wengi ni waimba pambio na vilegelege.

Pamoja na vyama vya siasa kuwa vingi, vingi havina mpango na katiba mpya.

Chadema ameonyesha nia na njia, aungwe mkono, ila asihodhi na kuwaweka wengine pembeni atafelim
 
"Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko ya mfumo wa chaguzi zetu yasimilikiwe na chama chochote bali watu wote wenye mapenzi mema na taifa letu."

Pia soma
- Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba
Huyu askofu ni kilaza sana!

Kumshabikia Trump ni kubeza demokrasia?

How?

Hajui kuwa Trump kachaguliwa kwa kupigiwa kura na watu zaidi ya milioni 77?

Hajui kuwa kura za Trump zimeongezeka kwa zaidi ya milioni 14 tokea agombee kwa mara ya kwanza mwaka 2016?

Huwezi kumweka Trump na Traore kwenye kundi moja.

Askofu zuzu huyo.
 
Back
Top Bottom