Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wagogo ni watu wenye kudharaulikaNdungai ameogopa kupoteza pension yake, si mna fahamu utaratibu waliojiwekea wakistaafu wanapeana mahekalu. Nani anataka kulikosa hekaluni la bure. Bado pension ya mili10 kwa mwezi mpaka kifo chako.
Ameamua kutumika kombe mwanaharamu apite.
Heshima ya mtu anaijenga mwenyewe, mbona Mzee Sigwemisi ni Mgogo anae heshimika tena sana tu.Eti wagogo ni watu wenye kudharaulika
Wewe ni pangu pakavu tia mchuzi huana loloteAskofu mchumia tumbo
Askofu mchumia tumbo
Wagogo wanaodharaulika ni Ndugai na Profesa Kabudi.Eti wagogo ni watu wenye kudharaulika
Wote waliokotwa jalalani heshima wataitoa wapi?Wagogo wanaodharaulika ni Ndugai na Profesa Kabudi.
Huyu hata iweje hizi Sheria walizojiwekea hakuna kushitakiwa tutakuja kuzitowa tumuhulize vzr yale mabilioni ya matibabu alikuwa anaundwa upya au alitiwa kitu gani! Mda utaongea tuombe uzimaNdungai ameogopa kupoteza pension yake, si mna fahamu utaratibu waliojiwekea wakistaafu wanapeana mahekalu. Nani anataka kulikosa hekaluni la bure. Bado pension ya mili10 kwa mwezi mpaka kifo chako.
Ameamua kutumika kombe mwanaharamu apite.
Huyu Mzee nampenda sana, alifaa sana kuwa Rais wa JMT, Lakini pia ni mtu asiye na vinyongo wala visasi labda ndio maana bado anasurvive.Heshima ya mtu anaijenga mwenyewe, mbona Mzee Sigwemisi ni Mgogo anae heshimika tena sana tu.
Kweli kabisa. Ila, tuseme kitu kimoja tu, Ndugai kujitokeza jana hadharani na kuomba msamaha ni kwa sababu ya reaction ya kauli yake kwenye social media, ila si kwa sababu ya uzito wa jambo alilomtuhumu Mama Samia. Pia amesema video ile imetengenezwa. These are very serious allegations. Watu wa cyber crime watafute waliotengeneza video hii mbaya inayotishia mshikamano wa nchi. Lakini zaidi ya yote kama vidoe ile ni ya kutengeneza kwa nini aombe smahani? Halafu nimesikia tena akisema ule ulikuwa utani wa Kigogo- Kwa maneno mafupi sana hutuba ya jana ya Mh. Ndugai haikueleweka"Kufafanua kauli si kubadili kauli"
Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais.
Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha.
Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
Ndugai ni mnafiki mkubwa"Kufafanua kauli si kubadili kauli"
Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais.
Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha.
Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
Ndugai kalazimishwa kuomba msamahaKweli kabisa. Ila, tuseme kitu kimoja tu, Ndugai kujitokeza jana hadharani na kuomba msamaha ni kwa sababu ya reaction ya kauli yake kwenye social media, ila si kwa sababu ya uzito wa jambo alilomtuhumu Mama Samia. Pia amesema video ile imetengenezwa. These are very serious allegations. Watu wa cyber crime watafute waliotengeneza video hii mbaya inayotishia mshikamano wa nchi. Lakini zaidi ya yote kama vidoe ile ni ya kutengeneza kwa nini aombe smahani? Halafu nimesikia tena akisema ule ulikuwa utani wa Kigogo- Kwa maneno mafupi sana hutuba ya jana ya Mh. Ndugai haikueleweka
Fedha za matibabu alinunulia mabasi ya KimbinyikoHuyu hata iweje hizi Sheria walizojiwekea hakuna kushitakiwa tutakuja kuzitowa tumuhulize vzr yale mabilioni ya matibabu alikuwa anaundwa upya au alitiwa kitu gani! Mda utaongea tuombe uzima
Unafiki sio wa Ndungai tu bali ni wanaCCM ndivyo walivyo!Ndugai ni mnafiki mkubwa
Eee kumbe yakwake!Fedha za matibabu alinunulia mabasi ya Kimbinyiko
UnajidanganyaWewe hujitambui ,huyu askofu ni mmoja wa watu wachache waadilifu na mwenye weledi katika nchi hii.