Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

Unapokuwa mstaarabu, kuomba radhi ni desturi, hata kama unajua kosa ni la mwingine. Ilmradi unajua chanzo hasa ni maneno au vitendo vyako. Kwa hiyo, bila hiana, pongezi kwa Spika Job.

Nakupongeza kwamba ujumbe umefika mahali pake vilivyo. Sasa endelea kuchapa kazi tungojee 2025 afurumshwe yuleee.
 
Askofu mchumia tumbo
Kukaa kimya ni hekima pia. Ungekua nana uwezo na ufahamu kidogo ungegundua kua askofu ni kati ya watz wnye IQ kubwa na uwezo wa kuyaona mambo kwa ndani. Je kwa mtazamo wako ndugai hakusema aliyoyaombea msamaha?, alisukumwa na nini kuyasema? Je dhamira iliyomsukuma kuyasema imeondolewa na nini akilini mwake? Je alipoyasema hakujua kwamba anapaswa kumuunga mkono mkuu wa nchi? Je hiyo taasisi alipoyasemea alitaka kupeleka ujumbe gani?

Tufikiri kwa mbali kabla hatujapigwa mnada?
 
Hakuna cha kukaa kimya alaf jiheshimu kuniquote ...!! Huyo askofu awadanganye malofa kama nyie ....!! We know everything behind him , kama ni dhima za kitaifa ataalikwa , so akae kwa kutulia
 
Hakuna cha kukaa kimya alaf jiheshimu kuniquote ...!! Huyo askofu awadanganye malofa kama nyie ....!! We know everything behind him , kama ni dhima za kitaifa ataalikwa , so akae kwa kutulia
Huna hiyo mamlaka ya kumnyamazisha yeyote. Lete hoja mezani sio mihemko. kama unajua na unakaa navyo wewe ni mzigo kwa jamii
 
Huyu hata iweje hizi Sheria walizojiwekea hakuna kushitakiwa tutakuja kuzitowa tumuhulize vzr yale mabilioni ya matibabu alikuwa anaundwa upya au alitiwa kitu gani! Mda utaongea tuombe uzima
Hawa ni noble group wameshajiweka hivyo.
 
Kukaa kimya ni hekima pia. Ungekua nana uwezo na ufahamu kidogo ungegundua kua askofu ni kati ya watz wnye IQ kubwa na uwezo wa kuyaona mambo kwa ndani. Je kwa mtazamo wako ndugai hakusema aliyoyaombea msamaha?, alisukumwa na nini kuyasema? Je dhamira iliyomsukuma kuyasema imeondolewa na nini akilini mwake? Je alipoyasema hakujua kwamba anapaswa kumuunga mkono mkuu wa nchi? Je hiyo taasisi alipoyasemea alitaka kupeleka ujumbe gani?

Tufikiri kwa mbali kabla hatujapigwa mnada?
Acha kubishana na Huyu mduanzi wa Lumumba .Mtu yeyote anayeongozwa na akili tumboni hafai!
 
Eti wagogo ni watu wenye kudharaulika
kwa kauli hizi kwa nn wasidharaulike.watu hujidharaurisha wenyewe kutokana na tabia na mwenendo wao.baba ukishindwa kutimiza wajibu wako ndani ya nyumba yako watoto watakudharau tu.
 
Hivi Waandishi ma Wahandisi was habari hawakupewa nafasi ya kuuliza maswali!?
Mimi naona kama kanichanganya...kama clip imefojiwa' sasa kaomba msamaha wa Nini !
SI apambane na Hao wadukuzi?!
 
kuomba kwake radhi kaonyesha udhaifu mkubwa sana yeye kama kiongozi wa muhimili na anathibitisha kauli ya pro Assad kwamba bunge halina meno
Bunge kwa Tanzania halina umuhimu wowote, ni kupoteza hela za wananchi. Tazama video hiyo ya wanaojua umuhimu wa vyombo hivi.
 
Ndungai ameogopa kupoteza pension yake, si mna fahamu utaratibu waliojiwekea wakistaafu wanapeana mahekalu. Nani anataka kulikosa hekaluni la bure. Bado pension ya mili10 kwa mwezi mpaka kifo chako.

Ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Pension mil.10?aiseh nikishika hatamu nitaishusha hadi laki mbili tu?nyingine zote ziende kwenye maendeleo!!
 
Kila mmoja mradi aonekane kwenye magazeti
Utoto mwingi nchi hii
Hawana kazi za kufanya hawa?
Au ndio Sunday to Sunday
 
Tafuta historia yake toka huko nyuma hutarudi hapa.

Iweke wazi hapa sisi hatutaki majungu!! Mlimpakazia kuwa sio raia lakini wa kwenu hamuwaoni kuwa wanatoka Burundi!!
 
Back
Top Bottom