Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
UWT Makamu Mwenyekiti wa CCM ni nani?kwamba Chadema imepasuka vipande vipande?
kuna kipande cha Singida, hicho ni cha makamu Mwenyekiti taifa, kuna kipande cha Dodoma na Arusha, walichogawana Lema na Kigaila Juzi,
Na kuna kipande cha dar es salaam na pwani ambacho Mrema na Mr midevu wanakipambania, huku huko tarime na rorya Wenje na Heche wamekita mizizi huko.
Mama Ima,
John Mnyika na Chairman hawana hata cha kuuma Chadema?π
Tuanze na ya mumeoYAMMBOWE MBONA HAMYASEMI
CCM imejaa majitu majinga kama hiliHapa unamaanisha kuwa wao wameiingilia serikali kwa vile imefanya maupuuzi yake?
Lazm awe peke yake kwa muono wako kwa sababu ndiye ambaye huwa unamsubiri aseme.kumbe jua kila mtu ana askofu wake ww umemtaja wa kwako.Askofu ni mmoja tu nchi hii, anaitwa Bagonza. Wengine ni "Asihofu".
mama Ima naskiza mlimchezea kamchezo mumama mwenzenu wa BAWACHA ikabidi asingizie sijui nini vile?UWT Makamu Mwenyekiti wa CCM ni nani?
Nyumbu vip aise πIrrelevant, π unakwama wapi?
Tulia πNyumbu vip aise π
haya tumesikia, tuludi kwenye mada. Mashindano ya kujaza fomu. Na 2025 mtaanzisha mashindano haya au ni mwaka huu? Tuyaite sa100 challengHuyu Askofu ndiye pekee anae haribugi kura kwa makusudi kwenye chaguzi za mkuu wa kanisa la KKKT nchini. Huwa anatamani awe yeye ila ndiyo hivyo tena hakubaliki ni moshi mweusi tu π€£
Huwa anakasirika sana, na hua anahisi anadhulumiwa na huwa anatamani sana uchaguzi wa Askofu mkuu wa kanisa la KKKT Tanzania usimamiwe na BAKWATA au Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania. Huwa hawaamini kabisa wasimamizi wa kanisa. Sifahamu kama kweli anamuamini hata Mungu π€£
Baadhi ya Maaskofu wenzake humpamba kweli, kwamba yeye ndie anastahili kua Askofu mkuu wa KKKT Tanzania, Lakini wakifika kwenye uchaguzi wala hakuna alie na habari nae.
Mara nyingine husingizia ana safari ya ghafla mara tu baada ya kupiga kura ambayo huiandika madudu anayojua yeye ili tu kura hiyo iharibike.
Ana gubu na viongozi wa kuu wa kanisa lake, Lakini pia ana gubu na jinsi ambavyo serikali sikivu ya CCM inavyopeleka Maendeleo kwa wananchi kwa kasi ya ajabu...
Actually,
Anakubalika sana Karagwe na kwenye baadhi ya mitandaoni ya kijamii. Nje na hapo ni useless tu π€£
watapita na wewe,we zubaa tu πTulia π
kuna Uchaguzi ujao pia wa Askofu Mkuu wa KKKT Tanzania, Je, Askofu Bagonza atashiriki tena au haiamini kamati ya Uchaguzi ya kanisa tena?haya tumesikia, tuludi kwenye mada. Mashindano ya kujaza fomu. Na 2025 mtaanzisha mashindano haya au ni mwaka huu? Tuyaite sa100 challeng
Kabisa MkuuHuyu Askofu ni philosopher kweli kweli! Amemaliza ubishi, tumsubiri Mungu aiadhibu CCM na wooooooooooooooooooote walio chini yake
Anzisha mada kuhusu hiyo kitu, hapa tunajadili shindano la kujaza fomu ccm kinalakuna Uchaguzi ujao pia wa Askofu Mkuu wa KKKT Tanzania, Je, Askofu Bagonza atashiriki tena au haiamini kamati ya Uchaguzi ya kanisa tena?
Na je,
Ataharibu kura kwa makusudi tena kwasababu hakuna anae mpendekeza yeye kua Askofu Mkuu KKKT Tanzania??π
Mkuu na kuonya kama mkristo acha tabia kushabiki a maovu na dhambi kisa vyeo vya CCM utapata laana wewe na watoto wako ,utapata laana wewe na wazazi wako.akomama I ma naskiza mlimchezea kamchezo mlini umama mwenzenu wa BAWACHA ikabidi asingizie sijui nini vile?
naskia unaitaka inafasi yake kwa udi na uvumba dah, vibaya hivyo mama Ima uongozi hautafutwi hivyo π
hakuna haja ya kubabaika na ukweli huo hasa ikiwa unakukera gentleman,Anzisha mada kuhusu hiyo kitu, hapa tunajadili shindano la kujaza fomu ccm kinala
Hivi huko shule ulienda somea ujinga?!hakuna haja ya kubabaika na ukweli huo hasa ikiwa unakukera gentleman,
hata hivyo,
askofu ni miongoni mwa viongozi wa dini mwenye ushawishi mitandaoni na kwa kiasi kidogo mno kwenye kadayosisi kake ka Karagwe,
Nje ya hapo,
ni mjuaji mlalamishi kama kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi tu, ambae wanatofautiana uaskofu tu π€£
Askofu bagonza anaelalamikia uchaguzi wa Mkuu wa kanisa lake, na kibaraka analalamikia uchaguzi ndani ya chama chake,
sasa watu kama hao si wakupuuzwa tu kwenye taasisi zao π