Askofu Bagonza: Ni Uongo mtu kuchaguliwa kwa HILA akatawala kwa HAKI

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ni katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema kwamba kwa sasa vijana hawana cha kujifunza kutoka kwa viongozi wao. Anahoji: Wajifunze Uongo? Wizi? Rushwa? , kuteka watu, ubabe, matusi, kuua, kuonea watu? Waige nini?

Soma Pia: Askofu Bagonza: Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa

Ni katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema kwamba kwa sasa vijana hawana cha kujifunza kutoka kwa viongozi wao. Anahoji: Wajifunze Uongo? Wizi? Rushwa?
Baba Askofu anakabia juu sana
 
Ni katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania una taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa

​
Haya ni maneno mazito sana! Kwa watu wenye hata chembe kidogo ya uadilifu, yangesababisha msululu wa viongozi kuamua kujiuzulu nyadhifa zao. Ni mameno yanakuingia hadi ndani ya moyo - kama bado una hisia zozote za uadilifu.

Tatizo mioyo ya watu wetu ni migumu kuliko chuma cha pua!
 
Labda Malawi
 
Ni katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema kwamba kwa sasa vijana hawana cha kujifunza kutoka kwa viongozi wao. Anahoji: Wajifunze Uongo? Wizi? Rushwa? , kuteka watu, ubabe, matusi, kuua, kuonea watu? Waige nini?

Soma Pia: Askofu Bagonza: Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa

kalikawe ikifika uchaguzi wa mkuu wa KKKT hujawa makasiriko na mihemko sana hadi kufikia hatua ya kukimbia mkutano mkuu wa uchaguzi wa mkuu wa kanisa lake, kwasababu kwanza hua hapendekezwi kabisa hata kua mngombea tu, wala hachaguliki na yeyote miongoni mwa maaskofu wenzake, na badala yake huonyesha chuki kwa kila anae chaguliwa kua mkuu wa KKKT na hata serikalini.

ni tabia yake mbaya ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wa waamini wake, ndio humfanya asiaminike na pia kupendwa ndani ya kanisa lake. Tabia ya kupachika mimba vitoto vya watu na kuvitelekeza imeharibu kabisa haiba na uhalali wake kua mkuu wa KKKT.

Ni ushetani kudhulumu vitoto vidogo kwa ngono halafu kwa unafiki mkubwa ukajivika utakatifu na kuhubiri injili.
Watakuskiza na kukuamini mafuska wenzako tu ndugu kalikawe.
 
Mtu wa ovyo lazima uongee vitu vya ovyo.wajinga lazima muishe lazima tuitibu nchi yetu.
 
Sawa, tuseme uliyoyasema ni kweli kabisa isiyokuwa na mawaa;

Je, aliyoyasema yeye ni uongo?

Je, ulichokiandika hapa kina jibu hoja zake?

Watu wakipima uwezo wa kufikiri kwa kutumia ulichokiandika hapa wakafikia hitimisho kuwa huenda wewe ni "taahira" watakuwa na makosa?
 
Hoja zake hazijibiki kwa hoja zaidi ya personal attack. Sikutarajia uje na majibu ya hoja zake nje ya huu ukhanithi.
 
kalikawe asingekua fuska huenda ndie angelikua mkuu wa KKKT hivi sasa but tabia yake ya kupenda ngono na kupachika mimba na kutelekeza watoto ni laana ambayo haitamuacha salama zaidi ya kubuni matuakio na vijimisemo vtakavyomfanya atrendi walau dk20 mitandaoni.

kalikawe hajawahi kua na hoja gentleman zaidi ya poroja za kuwafurahisha mofa kama wewe tu.
 
Sawa, tuseme uliyoyasema ni kweli kabisa isiyokuwa na mawaa;

Je, aliyoyasema yeye ni uongo?

Je, ulichokiandika hapa kina jibu hoja zake?

Watu wakipima uwezo wa kufikiri kwa kutumia ulichokiandika hapa wakafikia hitimisho kuwa huenda wewe ni "taahira" watakuwa na makosa?
hawezi kusema ukweli huyo gentleman,
hua ni mtu wa kususa tu na kunanga wanaopendwa na wengi.
unakumbuka baada ya uchaguzi wa mkuu wa KKKT, alipochaguliwa askofu A.Malasusa kwa awamu nyingine huyo kalikawe kwa mihemko na makasiriko kama yote alisemaje?

na kwani alichokisema leo ni kipya? unless humfahamu wala kumjua vema huyo fuska ambae unadhani kaeleza jambo la maana kweli kumbe moyoni mwake anawaza ngono tu.
 
Mtu wa ovyo lazima uongee vitu vya ovyo.wajinga lazima muishe lazima tuitibu nchi yetu.
gentleman,
ikiwa kalikawe ni mtu wa maana, kulikoni aendekeze dhuluma za kingono kwa watoto na wake za waamini wake?
 
kalikawe asingekua fuska huenda ndie angelikua mkuu wa KKKT hivi sasa but tabia yake ya kupenda ngono na kupachika mimba
Inawezekana na wewe alishakupachika mimba ndio maana unasema hivi. Lakini hiyo haiondoi ukweli wa yale anayosema. Tulishakuwa na raisi anapenda ngono ni balaa, lakini aliwa raisi wa nchi yetu kwa miaka kumi!

Sasa kupenda ngono na maoni ya kuendeleza nchi yetu wapi na wapi? Tena kuna watu baada ya kufanya ngono ndio wanatoa point ile mbaya. Kuna jamaa nilikuwa nae shule, bila kupiga nyeto alikuwa hawezi kufanya mtihani, point haziji kichwani.

Kuna mwingine swali lilimsumbua hadi akapiga mshindo kwenye kaptula! Baada ya hapo tu akalilkokotoa swali kirahisi sana!
 
muulize kalikawe wanachomfanya kwenye uchaguzi wa mkuu wa KKKT ndio utajua anachokisema hapo ni kipya au ni tabia yake anapokosa fursa au kumuonea wivu aliepata fursa hiyo.

kalikawe ni muhuni tu ambae hujaribu kuwafurahisha wahuni wenzake ambao wanamuelewa.
but kwangu mimi, nonsense za kalikawe ni za kupuuzwa tu kwasababu ni useless
 
Sikatai wala kukubali yote hayo unayosema, lakini swali linabaki pale pale. Ukiwa mlevi, na mpenda ngono na mpachika mimba akakuambia wewe ni mlevi, tusimsikilize kwa kuwa anaekuambia hivyo ni mpenda ngono na mpachika mimba?
 
ni muhuni mwewnye tabia zinazofanana zake kalikawe ndie pekee anaweza kumtilia maanani huyo fuska na mtu wa hovyo asie na maadili gentleman
 
Padri Kitima anasema kwa sasa viongozi wanawekeza nguvu kufanya watu kuwa wajinga, akija hapa atajionea kwa ushahidi anachosema kutoka kwako.
 
wakati yeye mwenyewe ni padre mjinga,
nani atamsikiliza huyo mlevi kwa mfano gentleman?
 
kalikawe ikifika uchaguzi wa mkuu wa KKKT hujawa makasiriko na mihemko sana hadi kufikia hatua ya kukimbia mkutano mkuu wa uchaguzi wa mkuu wa kanisa lake, kwasababu kwanza hua hapendekezwi kabisa hata kua mngombea tu, wala hachaguliki na yeyote miongoni mwa maaskofu wenzake, na badala yake huonyesha chuki kwa kila anae chaguliwa kua mkuu wa KKKT na hata serikalini.

ni tabia yake mbaya ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto wa waamini wake, ndio humfanya asiaminike na pia kupendwa ndani ya kanisa lake. Tabia ya kupachika mimba vitoto vya watu na kuvitelekeza imeharibu kabisa haiba na uhalali wake kua mkuu wa KKKT.

Ni ushetani kudhulumu vitoto vidogo kwa ngono halafu kwa unafiki mkubwa ukajivika utakatifu na kuhubiri injili.
Watakuskiza na kukuamini mafuska wenzako tu ndugu kalikawe.
Vijana JF mmekua wapumbavu baada ya kujadili hoja unamjadili mtu pumbavu zako
 
Back
Top Bottom