Wewe... Wa kujiuzulu si hawa mafisadi watokanao na ccm isiyokuwa na aibu?Haya ni maneno mazito sana! Kwa watu wenye hata chembe kidogo ya uadilifu, yangesababisha msululu wa viongozi kuamua kujiuzulu nyadhifa zao. Ni mameno yanakuingia hadi ndani ya moyo - kama bado una hisia zozote za uadilifu.
Tatizo mioyo ya watu wetu ni migumu kuliko chuma cha pua!
Ndio maana ni jambo linalokubalika bila ubishi kwamba duniani watu tunazidiana uwezo wa akilini muhuni mwewnye tabia zinazofanana zake kalikawe ndie pekee anaweza kumtilia maanani huyo fuska na mtu wa hovyo asie na maadili gentleman
yes,Ndio maana ni jambo linalokubalika bila ubishi kwamba duniani watu tunazidiana uwezo wa akili
tuliza mihemko kama huna hoja gentleman,Vijana JF mmekua wapumbavu baada ya kujadili hoja unamjadili mtu pumbavu zako
Lazima uambiwe hilo? Kwenye list ya watu wa mwisho kwa uwezo wa akili ndio unawakuta wajinga na wapumbavu. Sasa kama hukuelewa implication ya kuwa na hiyolist fikiria uko wapi kwenye ile list ya watu wenye akili?yes,
huenda hata ujinga na upumbavu kunakuzidiana, right?
Ila kweli lakiniNi katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema kwamba kwa sasa vijana hawana cha kujifunza kutoka kwa viongozi wao. Anahoji: Wajifunze Uongo? Wizi? Rushwa? , kuteka watu, ubabe, matusi, kuua, kuonea watu? Waige nini?
Soma Pia: Askofu Bagonza: Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa
sasa muerevu lofa mbona umepanic?Lazima uambiwe hilo? Kwenye list ya watu wa mwisho kwa uwezo wa akili ndio unawakuta wajinga na wapumbavu. Sasa kama hukuelewa implication ya kuwa na hiyolist fikiria uko wapi kwenye ile list ya watu wenye akili?
Wewe Tlaatlaa mie sio ligi yako kujibizana. Unaongea na kujibu kitoto sana. Kumbe wewe ni watu wa kutumia kauli mbona umepanic isivyostahili? Unajua maana ya ku panic na neno hilo lapaswa kutumika wapi? Huna hata shule ya msingi wewe. Hebu kakojoe ulale.sasa muerevu lofa mbona umepanic?
si ujieleze tu bila mihemko wala kuweweseka na itapendeza zaidi?
sina haja na lig au kitu kinachofanana na hicho jukwaani gentleman,Wewe Tlaatlaa mie sio ligi yako kujibizana. Unaongea na kujibu kitoto sana. Kumbe wewe ni watu wa kutumia kauli mbona umepanic isivyostahili? Unajua maana ya ku panic na neno hilo lapaswa kutumika wapi? Huna hata shule ya msingi wewe. Hebu kakojoe ulale.