Askofu Bagonza: Ni Uongo mtu kuchaguliwa kwa HILA akatawala kwa HAKI

Winga ya kushoto anacheza Askofu Bagonza, halafu winga ya kulia anacheza Padre Dr. Kitima! Mashambulizi yao mara zote huwaacha maccm na machawa wao njia panda. Hata hayaelewi yamkabe nani.
 
Hii sio sawa lakini embu fikirieni kila siku rais anapigwa vitasa ataongozaje sasa
 
Wewe... Wa kujiuzulu si hawa mafisadi watokanao na ccm isiyokuwa na aibu?
Si umesikia kituko rais wanao anaelekeza watajwe hadharani waone aibu?? As if wana guts za kuona aibu!
 
ni muhuni mwewnye tabia zinazofanana zake kalikawe ndie pekee anaweza kumtilia maanani huyo fuska na mtu wa hovyo asie na maadili gentleman
Ndio maana ni jambo linalokubalika bila ubishi kwamba duniani watu tunazidiana uwezo wa akili
 
Vijana JF mmekua wapumbavu baada ya kujadili hoja unamjadili mtu pumbavu zako
tuliza mihemko kama huna hoja gentleman,
huyo kalikawe tapeli anaweza kukudanganya wewe tu kwasababu ya ulofa wako.
acha makasiriko gentleman
 
yes,
huenda hata ujinga na upumbavu kunakuzidiana, right?
Lazima uambiwe hilo? Kwenye list ya watu wa mwisho kwa uwezo wa akili ndio unawakuta wajinga na wapumbavu. Sasa kama hukuelewa implication ya kuwa na hiyolist fikiria uko wapi kwenye ile list ya watu wenye akili?
 
Ila kweli lakini
 
Lazima uambiwe hilo? Kwenye list ya watu wa mwisho kwa uwezo wa akili ndio unawakuta wajinga na wapumbavu. Sasa kama hukuelewa implication ya kuwa na hiyolist fikiria uko wapi kwenye ile list ya watu wenye akili?
sasa muerevu lofa mbona umepanic?

si ujieleze tu bila mihemko wala kuweweseka na itapendeza zaidi?
 
sasa muerevu lofa mbona umepanic?

si ujieleze tu bila mihemko wala kuweweseka na itapendeza zaidi?
Wewe Tlaatlaa mie sio ligi yako kujibizana. Unaongea na kujibu kitoto sana. Kumbe wewe ni watu wa kutumia kauli mbona umepanic isivyostahili? Unajua maana ya ku panic na neno hilo lapaswa kutumika wapi? Huna hata shule ya msingi wewe. Hebu kakojoe ulale.
 
sina haja na lig au kitu kinachofanana na hicho jukwaani gentleman,
wajibu wangu mkuu ni kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu na sio vitu nonsense kama hizo sijui lig ama nini.

hiyo fanyeni na wenye mihemko wenzio huko gentleman, sina muda wa kuchezea na mambo useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…