Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
SHE is a blood coward bitch. Who kills people.He is imbicile
USSR
SHE is a blood coward bitch. Who kills people.He is imbicile
USSR
wanatangaza vita na wakristoWashahamia kwa Viongozi wa dini
huyu muungwana asingekua mtu wa uzinzi kwa wake za watu waamini wake na mpachika mimba mahiri na kutekeleza watoto mitaani huko karagwe angekua mtu wa maana na wa kuaminika sana, but kwa alivyo naona nonsense tupu 🐒Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
_______
Leo 8/5/2025, Papa wa 267 (Papa Leo XIV) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana CTU mwenzangu (CTU ni chuo kikuu cha Theolojia cha Kanisa Katoliki ambapo Bagonza kasoma hapo pia). Na ni Mwana Augustino mwenzangu (Msisahau Martin Luther alikuwa Padre wa O.S.A). Kwahiyo imekua siku njema kwangu.
Lakini pia imekua siku ngumu kwa sababu nimepokea taarifa kuwa “WASIOJULIKANA” watakuja kunimaliza. Hivyo nimeambiwa niishi kwa tahadhari. Sishangai maana ukimfuga mbwa ukamwachia aonje damu za watu, huwezi kumdhibiti tena na hawezi kuacha mwenyewe.
1. Kama kweli wanakuja; WAMEKOSEA. Wanaichafua serikali na taifa kwa jumla.
2. Kama hawaji, pia WAMEKOSEA. Bado Wanaichafua serikali na taifa kwa kuwaza kuja.
Kama wakija, nawaomba wasiharibu milango ya nyumba yangu na kuwafanya wanangu nitakaowaacha yatima waanze kufikiria kuitengeneza upya. Waniite nitatoka nijikabidhi.
Kama hawaji; namshauri mfuga mbwa awafungie mbwa wake ndani. Si kwa ajili yangu bali kwa ajili ya usalama wa mfunga mbwa mwenyewe na usalama wa kijiji chetu.
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Hekima ni kutengeneza marafiki wapya kuliko maadui wapya. Usimuue mtu aliye tayari kufa. Hayo ni matumizi mabaya ya mauaji.
Awamu ya tano walikuja. Si lazima waje awamu ya sita hata kama awamu ya sita ni muendelezo wa awamu ya tano.
Iwe awamu ile au hii, hawa wasiojulikana ni waharibifu wa awamu zote mbili. Serikali makini (kama kweli haiwajui) ijitenge nao.
Wanaweza kufanya (kwangu) kwa sababu wameishafanya pasipotegemewa (TEC). Wakifanya wasijipongeze, wasipongezwe, na adhabu yao iwe ni kufanya MILELE.
Kama wakifanya; mwili utaoza, watu watalia, wengine watashangilia lakini watazaliwa wengine zaidi yangu.
Mungu analipenda taifa hili kuliko mimi ninavyolipenda. Hachelewi wala hawahi. Atasimama kulitetea.
Naishi katika jimbo la Waziri wa Mambo ya Ndani. Nina uhakika hajawatuma. Nawashauri wasitumie rungu kuua mbu aliyekaa kwenye kende za mfalme. Wala jiwe kumtungua kunguru aliyekaa kwenye kichwa cha Malkia.
Nawapenda Watanzania. Wakija kunichukua, tusipoonana tena, basi tutaonana kwa Baba kwa wale mlio na imani 🙏🏽View attachment 3329033
Acha ujinga hata basi kula posho.Sisi tunaye mfahamu tokea USA we una unafahamu wapi zaidi ya kulamba kupumuliwa nyuma na CCMhuyu muungwana asingekua mtu wa uzinzi kwa wake za watu waamini wake na mpachika mimba mahiri na kutekeleza watoto mitaani huko karagwe angekua mtu wa maana na wa kuaminika sana, but kwa alivyo naona nonsense tupu 🐒
Pumbafhuyu muungwana asingekua mtu wa uzinzi kwa wake za watu waamini wake na mpachika mimba mahiri na kutekeleza watoto mitaani huko karagwe angekua mtu wa maana na wa kuaminika sana, but kwa alivyo naona nonsense tupu 🐒
Yeye na kitima ndio mambo yaohuyu muungwana asingekua mtu wa uzinzi kwa wake za watu waamini wake na mpachika mimba mahiri na kutekeleza watoto mitaani huko karagwe angekua mtu wa maana na wa kuaminika sana, but kwa alivyo naona nonsense tupu 🐒
Relax gentleman 🐒Pumbaf
Unataka kummaliza mtu kama huyu alafu iweje
Bogonza kumbe anachana mistarii!Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA
Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino mwenzangu (Msisahau Luther alikuwa Augustianian), imekuwa siku njema na ngumu kwangu.
Ngumu kwa kuwa nimekuwa napokea taarifa na tahadhari kuwa “WASIOJULIKANA” watakuja kunimaliza. Sishangai maana ukimfuga mbwa ukamwachia aonje damu za watu, huwezi kumdhibiti tena na hawezi kuacha mwenyewe.
1. Kama ni kweli wanakuja; WAMEKOSEA. Wanaichafua serikali na taifa kwa jumla.
2. Kama si kweli, pia WAMEKOSEA. Wanaichafua serikali na taifa letu pendwa hata kwa kuwaza hayo.
3. Kama wakija, nawaomba wasiharibu milango ya nyumba yangu kuwafanya yatima kuitengeneza upya. Waniite nitatoka nijikabidhi.
4. Kama hawapo na kwa hiyo hawaji; nashauri kama nilivyomshauri mfuga mbwa kuwa awafungie mbwa wake ndani. Si kwa ajili yangu bali kwa ajili ya mfunga mbwa na kijiji chetu.
5. Huu ni mwaka wa uchaguzi. Hekima ni kutengeneza marafiki wapya kuliko maadui wapya. Usimuue anayetaka kufa. Ni matumizi mabaya ya mauaji.
6. Niwakumbushe machache:
i) Katika awamu ya tano walikuja. Si lazima waje awamu ya sita hata kama awamu ya sita ni muendelezo wa awamu ya tano!
ii) Iwe awamu ile au hii, hawa wasiojulikana ni waharibifu wa awamu zote mbili. Serikali makini, na hii ni makini, kama haiwajui, ijitenge nao siyo kutujulisha kuwa wapo.
iii) Wanaweza kufanya kwa sababu wameishafanya pasipotegenewa. Wakifanya, wasijipongeze, wasipongezwe, na adhabu yao iwe ni kufanya MILELE.
iv) Kama wakifanya; mwili utaoza, watu watalia na wengine watashangilia, LAKINI, ukweli hautazikwa, upumbavu wangu hautazikwa na watazaliwa wapumbavu wengine zaidi yangu.
v) Mungu analipenda taifa hili kuliko ninavyolipenda. Hachelewi wala hawahi. Atasimama kulitetea.
7. Naishi katika jimbo la Waziri wa Mambo ya Ndani. Nina uhakika hakuwatuma. Nawashauri wasitumie rungu kuua mbu aliyekaa makende ya mfalme. Watamuumiza. Watumie hekima, mbu ataondoka. Wasimtungue kwa jiwe la manati kunguru mchafu aliyekaa juu ya kichwa cha malkia. Wakikosea kidogo, jiwe litamjeruhi malkia. ITOSHE SIKU KWA UOVU WAKE.
Nawapenda Watanzania. Tusipoonana tena, tutakutana kwa Baba wale mlio na imani.
View attachment 3328998
Kama ningeambiwa mimi,ningeiacha bandari na DP World namuuzia Arvinder wa mapesa."Usimuue anayetaka kufa. Ni matumizi mabaya ya mauaji."
Hii kazi mnayofanya kama mnafanya bure mtakuwa wajinga sanahuyu muungwana asingekua mtu wa uzinzi kwa wake za watu waamini wake na mpachika mimba mahiri na kutekeleza watoto mitaani huko karagwe angekua mtu wa maana na wa kuaminika sana, but kwa alivyo naona nonsense tupu 🐒
Nimeogopa sanaAmeandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe
KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA
Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino mwenzangu (Msisahau Luther alikuwa Augustianian), imekuwa siku njema na ngumu kwangu.
Ngumu kwa kuwa nimekuwa napokea taarifa na tahadhari kuwa “WASIOJULIKANA” watakuja kunimaliza. Sishangai maana ukimfuga mbwa ukamwachia aonje damu za watu, huwezi kumdhibiti tena na hawezi kuacha mwenyewe.
1. Kama ni kweli wanakuja; WAMEKOSEA. Wanaichafua serikali na taifa kwa jumla.
2. Kama si kweli, pia WAMEKOSEA. Wanaichafua serikali na taifa letu pendwa hata kwa kuwaza hayo.
3. Kama wakija, nawaomba wasiharibu milango ya nyumba yangu kuwafanya yatima kuitengeneza upya. Waniite nitatoka nijikabidhi.
4. Kama hawapo na kwa hiyo hawaji; nashauri kama nilivyomshauri mfuga mbwa kuwa awafungie mbwa wake ndani. Si kwa ajili yangu bali kwa ajili ya mfunga mbwa na kijiji chetu.
5. Huu ni mwaka wa uchaguzi. Hekima ni kutengeneza marafiki wapya kuliko maadui wapya. Usimuue anayetaka kufa. Ni matumizi mabaya ya mauaji.
6. Niwakumbushe machache:
i) Katika awamu ya tano walikuja. Si lazima waje awamu ya sita hata kama awamu ya sita ni muendelezo wa awamu ya tano!
ii) Iwe awamu ile au hii, hawa wasiojulikana ni waharibifu wa awamu zote mbili. Serikali makini, na hii ni makini, kama haiwajui, ijitenge nao siyo kutujulisha kuwa wapo.
iii) Wanaweza kufanya kwa sababu wameishafanya pasipotegenewa. Wakifanya, wasijipongeze, wasipongezwe, na adhabu yao iwe ni kufanya MILELE.
iv) Kama wakifanya; mwili utaoza, watu watalia na wengine watashangilia, LAKINI, ukweli hautazikwa, upumbavu wangu hautazikwa na watazaliwa wapumbavu wengine zaidi yangu.
v) Mungu analipenda taifa hili kuliko ninavyolipenda. Hachelewi wala hawahi. Atasimama kulitetea.
7. Naishi katika jimbo la Waziri wa Mambo ya Ndani. Nina uhakika hakuwatuma. Nawashauri wasitumie rungu kuua mbu aliyekaa makende ya mfalme. Watamuumiza. Watumie hekima, mbu ataondoka. Wasimtungue kwa jiwe la manati kunguru mchafu aliyekaa juu ya kichwa cha malkia. Wakikosea kidogo, jiwe litamjeruhi malkia. ITOSHE SIKU KWA UOVU WAKE.
Nawapenda Watanzania. Tusipoonana tena, tutakutana kwa Baba wale mlio na imani.
View attachment 3328998
Hapo umemshambulia ki binafsi tuu,ila mawazo yake ni mchango mkubwa kwa Taifa letu.Huyu baba mi tunu....Tamaa hata wewe unazohuyu muungwana asingekua mtu wa uzinzi kwa wake za watu waamini wake na mpachika mimba mahiri na kutekeleza watoto mitaani huko karagwe angekua mtu wa maana na wa kuaminika sana, but kwa alivyo naona nonsense tupu 🐒
Hoja ndo huwa hawajibu --- yani mfano yunasema yote aliyomchafua sawa- haya jibu hoja yake , atakimbia tuHapo umemshambulia ki binafsi tuu,ila mawazo yake ni mchango mkubwa kwa Taifa letu.Huyu baba mi tunu....Tamaa hata wewe unazo