Askofu Bagonza: Rais Samia kabadilisha mwandishi wa hotuba?!

Na zawadi moja ya kamongo mwekundu apatiwe mshauri atakaye kuwa akimshauri Muheshimiwa Raisi kwa ukweli halisi bila uchawa na kwa Uzalendo uliotukuka ili taifa liponywe kwa ukweli.
 
Askofu ameongea ukweli unaotosha kabisa kuliponya Taifa.

Simtambui SAMIA
Ni MÙAJI
Ni MHAINI
 
Hii hekima aisee ni mara sabini ya serikali iliyopo madarakani haramu ni miongoni kati ya watu wachache nilio pata kuwaona duniani hawa ndio wanapaswa kuwa viongozi wa nchi

"Extra ordinariness is needed because we messed extra ordinarily!"

Mie ni ningekuwa raisi wa nchi hii baba Askofu Bagonza angekuwa mmoja wa washauri wangu wa kiroho.

Niendelee na maombi na kumsikiliza baba askofu kwa mawazo yake chanya plus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…