Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1687338428891.png
"Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza

Chanzo: Jambo TV
 
View attachment 2664188

Huo ndio ukweli, lakini uongozi Bora Ni muhimu sana Kwa kuwa ufanisi wa Kazi yoyote inaitaji weledi na technologies.
 
"Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza

Chanzo: Jambo TV

Kweli askofu kila panapo shindikana pabinafsishwe? Swali zuri sana
Ccm njooni mumjibu askofu hayo maswali.
 
"Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza

Chanzo: Jambo TV
Serikali ya SAMIA imeona umeshindwa kusimamia bandari na haiwezi kuwawajibisha vigogo wala Rushwa na majizi konkodi yaliyopo bandarin,sasa serikali hii ina mafisadi na wahujumu uchumi wengi sana na ni wanaCCM na wamejificha hapo kwenye uCCM,Kama Rais ameshindwa kusimamia hilo,swali ni je ataweza nn ktk kuliongoza Taifa hili gumu,Mm namshauri Mama huyu SAMIA SULUHU HASSAN kuwa Suluhu iliyo njema ni apumzike tu asaidiwe na mtu mwingine.Alipotufikisha tunamshukuru sana.
 
Eti asaidiwe na Mtu mwingine .
Chief mfumo wa nchi hii hizi kelele zetu zitaishia hapa hapa jf..
 
Serikali ya SAMIA imeona umeshindwa kusimamia bandari na haiwezi kuwawajibisha vigogo wala Rushwa na majizi konkodi yaliyopo bandarin,sasa serikali hii ina mafisadi na wahujumu uchumi wengi sana na ni wanaCCM na wamejificha hapo kwenye uCCM,Kama Rais ameshindwa kusimamia hilo,swali ni je ataweza nn ktk kuliongoza Taifa hili gumu,Mm namshauri Mama huyu SAMIA SULUHU HASSAN kuwa Suluhu iliyo njema ni apumzike tu asaidiwe na mtu mwingine.Alipotufikisha tunamshukuru sana.
kwel kabisa
 
CCM huiba chaguzi Kila uchaguzi ukifika. Kama sa100 anashindwa kuendesha bandari anawezaje kuongoza nchi?
Hapo sasa

Yaani serikali kwa ujumla eti anaupiga mwingi ila bandari ambayo ni sehemu ndogo tu ya serikali hawawezi....basi wauze kabisa na uraisi
 
Huyo boganza ni mtu yupo karibu na February anakula sana pesa zake wakiwa kule tanga
.hawa ndio maaskofu sadaka
 
Swali gumu sana hilo hata atakae jitutumua kujibu majibu hayatakuwa sahihi zitakuwa pumba tu.
Very technical question.. Sikuwah kujua kama kua kuna siku serikali ya ccm kwa umbumbumbu wao itatoka hadharani bila kujijua kuja kukubali kuna jambo limewashinda... Yote haya ni matokeo ya wizi wa kura na wakipewa madaraka wanapoteza muda mwingi kurudisha fadhila kwa waliowasaidia na kuimarisha mifumo ya kuwafanya washinde tena kwa kuiba uchaguzi ujao, hawa kweli wataweza kuendesha bandari? Ndio mana hii nchi wameishindwa kabisa nchi kubwa sana hii, KATIBA MPYA INATAKIWA IWE NI MSUMARI WA MOTO ILI UKICHEZA UNAKWENDA NA MAJI... kwanza vyama karibia vyote ni wapumbavu... WANAUDHI SANA....
 
Huyo boganza ni mtu yupo karibu na February anakula sana pesa zake wakiwa kule tanga
.hawa ndio maaskofu.
Wanadamu wenye akili ndogo (Kama wewe) humshambulia mtu badala ya kushambulia HOJA.
Unaleta vioja kwenye Mambo ya msingi badala ya kujibu HOJA.
 
Very technical question.. Sikuwah kujua kama kua kuna siku serikali ya ccm kwa umbumbumbu wao itatoka hadharani bila kujijua kuja kukubali kuna jambo limewashinda... Yote haya ni matokeo ya wizi wa kura na wakipewa madaraka wanapoteza muda mwingi kurudisha fadhila kwa waliowasaidia na kuimarisha mifumo ya kuwafanya washinde tena kwa kuiba uchaguzi ujao, hawa kweli wataweza kuendesha bandari? Ndio mana hii nchi wameishindwa kabisa nchi kubwa sana hii, KATIBA MPYA INATAKIWA IWE NI MSUMARI WA MOTO ILI UKICHEZA UNAKWENDA NA MAJI... kwanza vyama karibia vyote ni wapumbavu... WANAUDHI SANA....
Exactly vyama vyetu vina wajinga pia tena wengi sana wanaoviongoza sasa Hv wamelishwa asali wanatembea na vibe za kisanii tu.wengi wasioelewa siasa zetu wanajua jamaa wako serious kumbe hamna kitu.
 
Huyo boganza ni mtu yupo karibu na February anakula sana pesa zake wakiwa kule tanga
.hawa ndio maaskofu sadaka
Hata kama lengo lako ni kuutetea mkataba mbovu. Jaribu kuja na hoja zenye mashiko, namna hii unawaangusha sana wenzako!
 
Back
Top Bottom