Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

Huyo boganza ni mtu yupo karibu na February anakula sana pesa zake wakiwa kule tanga
.hawa ndio maaskofu sadaka
Ww ni mfupi sana kijana na huwezi kuona mbele kuna nn yaani kwenye mjadala huu utaehuka tu nenda kacheza na wenzako ukirefuka tutakwita ili uone tunakoona.
 
Eti asaidiwe na Mtu mwingine .
Chief mfumo wa nchi hii hizi kelele zetu zitaishia hapa hapa jf..
Chief sikiliza hv unadhani Rais muoga atalisaidia nn Taifa, Kumbuka wanaopitisha mizigo bila kulipa kodi bandarini ni Matajiri waliojiunga na kuwa wanaCCM ili wakwepe kodi na wengine ni Viongozi wetu wa CCM wengi tu,na Hawataki kusikia kuhusu kodi na Kumbuka serikali isiyokusanya kodi huabudu Matajiri.Ndio maana tunasema aombe apumzike asaidiwe,kuna maeneo nyeti ktk nchi hii ww Rais hupaswi kuwaonea watu AIBU hata kidogo,Bandarini pamejaa ufisadi na wizi wa kutisha je Serikali ya CCM imenyoosha mikono juu kwamba umeshindwa?na sio huko tu bandarini wote tumesikia ikiwa na pamoja na ww taarifa za CAG Kuhusu ufisadi wa kutisha ndani ya serikali hii ktk miradi mbalimbali ya maendeleo hapa CAG anatuambia kwamba tuache kumdanyanya SAMIA kwamba anaupiga mwingi kinachoendelea ni Sifuri,je tubinafsishe na huko anakotuambia CAG? na je tutahesabika kwamba tuna akili TIMAMU,swali je shule ni za nn,vyuo ni vya nn kama kazi yetu ni kujidharau kiasi hiki.
 
Watu walipanda vimkokoteni dubai wakasaini mikataba ya hivyo
 
Exactly vyama vyetu vina wajinga pia tena wengi sana wanaoviongoza sasa Hv wamelishwa asali wanatembea na vibe za kisanii tu.wengi wasioelewa siasa zetu wanajua jamaa wako serious kumbe hamna kitu.
Mkuu haiitaji hata akili za darasani kujua hapa wananchi wasipoamka hamna kitu kitaendelea wala kutokea, neo colonialism ndio inatunyemelea mwanangu, majamaa ni selfish sana
 
"Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza

Chanzo: Jambo TV
Tatizo wanateuliwa ndugu/marafiki/makada wa CCM kuongoza badala ya kuleta watu smart
 
Kama tatizo lingekuwa rushwa basi Cha kwanza kubinafsishwa ingekuwa CCM
 
Police na Mahakama nafikiri zitabinafsishwa Kwa sababu zinaongoza Kwa rushwa
 
WhatsApp Image 2023-06-22 at 10.07.59 AM.jpeg
 
Back
Top Bottom