Huyo anayeshambulia mtu hajielewi hata kidogo na kama hajielewi hawezi kujua wenye Akili wanaongea nn.Wanadamu wenye akili ndogo (Kama wewe) humshambulia mtu badala ya kushambulia HOJA.
Unaleta vioja kwenye Mambo ya msingi badala ya kujibu HOJA.
Ww ni mfupi sana kijana na huwezi kuona mbele kuna nn yaani kwenye mjadala huu utaehuka tu nenda kacheza na wenzako ukirefuka tutakwita ili uone tunakoona.Huyo boganza ni mtu yupo karibu na February anakula sana pesa zake wakiwa kule tanga
.hawa ndio maaskofu sadaka
Chief sikiliza hv unadhani Rais muoga atalisaidia nn Taifa, Kumbuka wanaopitisha mizigo bila kulipa kodi bandarini ni Matajiri waliojiunga na kuwa wanaCCM ili wakwepe kodi na wengine ni Viongozi wetu wa CCM wengi tu,na Hawataki kusikia kuhusu kodi na Kumbuka serikali isiyokusanya kodi huabudu Matajiri.Ndio maana tunasema aombe apumzike asaidiwe,kuna maeneo nyeti ktk nchi hii ww Rais hupaswi kuwaonea watu AIBU hata kidogo,Bandarini pamejaa ufisadi na wizi wa kutisha je Serikali ya CCM imenyoosha mikono juu kwamba umeshindwa?na sio huko tu bandarini wote tumesikia ikiwa na pamoja na ww taarifa za CAG Kuhusu ufisadi wa kutisha ndani ya serikali hii ktk miradi mbalimbali ya maendeleo hapa CAG anatuambia kwamba tuache kumdanyanya SAMIA kwamba anaupiga mwingi kinachoendelea ni Sifuri,je tubinafsishe na huko anakotuambia CAG? na je tutahesabika kwamba tuna akili TIMAMU,swali je shule ni za nn,vyuo ni vya nn kama kazi yetu ni kujidharau kiasi hiki.Eti asaidiwe na Mtu mwingine .
Chief mfumo wa nchi hii hizi kelele zetu zitaishia hapa hapa jf..
Tubinafsishe Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kwa Wakenya.CCM huiba chaguzi Kila uchaguzi ukifika. Kama sa100 anashindwa kuendesha bandari anawezaje kuongoza nchi?
Mkuu haiitaji hata akili za darasani kujua hapa wananchi wasipoamka hamna kitu kitaendelea wala kutokea, neo colonialism ndio inatunyemelea mwanangu, majamaa ni selfish sanaExactly vyama vyetu vina wajinga pia tena wengi sana wanaoviongoza sasa Hv wamelishwa asali wanatembea na vibe za kisanii tu.wengi wasioelewa siasa zetu wanajua jamaa wako serious kumbe hamna kitu.
Tatizo wanateuliwa ndugu/marafiki/makada wa CCM kuongoza badala ya kuleta watu smart"Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? tubinafsishe? tukabidhi sekta binafsi?" Askofu Benson Bagonza
Chanzo: Jambo TV
Hakika mkuu ni kweli.Mkuu haiitaji hata akili za darasani kujua hapa wananchi wasipoamka hamna kitu kitaendelea wala kutokea, neo colonialism ndio inatunyemelea mwanangu, majamaa ni selfish sana
Mimi mwenyewe naamini hivyo ni bora wangepewa jeshi tu.