Askofu Bagonza tafuta miafaka ndani ya KKKT kabla ya kuingilia masuala ya siasa

Tuhuma hapa ni za mnafiki Bagonza.
Ukiwa na za Shoo na Malasusa anzisha thread yako na ushahidi.
Usipake wengine matope kwa unafiki na uovu uliokujaa moyoni kama Bagonza.
Nyie watu wahuni tu. Hamna lolote. Kujifanya watakatifu kwa kuwapaka matope watu.
 
Hakika, mambo yake muachieni mwenyewe...
 
Masalia ya mwendazake haya,rubbish.
 

Wenye akili kubwa hawaongei sana. Na wala hawaandiki kwa kuandika tu. Huona changamoto zao kwanza kabla ya wengine. So please Acha kusifia ujinga. He is a bishop and not just nobody. Tutawatambua kwa Matunda Yao. Biblia inasema. Wewe si mganga ungeenda jimboni kwake kwanza then come na andiko
 
Bora mimi nimesifia ujinga ila wewe umeandika upumbavu mtupu.

Bagonza angekuwa ndiyo mkuu wa KKKT duniani tungemlaumu kwa kushindwa kutatua changamoto za kimfumo wa uendeshaji wa kikanisa. Nyie ndiyo mnaoshinda kulalamikia mbunge ameshindwa kuleta maendeleo jimboni na wakati mbunge hakusanyi kodi kama ilivyo kwa serikali. Akili ndogo sana.

Kwa mawazo yako unataka niende jimboni kwa Bagonza nikaanze kufuatilia maisha(udhaifu) wake. Aliyekwambia Bagonza ni malaika ni nani? Akili ndogo sana hiyo.

Elewa kwamba Bagonza anakosoa mifumo ya serikali ambayo aliyepo juu(Rais) ndiyo mtu pekee ambaye akiamua anarekebisha na asipoamua anaacha. Bagonza hasemi tufuatilie maisha binafsi ya Rais sababu tunajua Rais ni binadamu sio malaika.

Usipoelewa na hapa basi anza safari ya kwenda kuzimu tu maana utakuwa umeumaliza mwendo.
 
Kibuni hoja zake badala ya kuongiza vitu ambavyo havina uhusiano na hoja yake. Matitizo ya uongozi wa kanisa ni yao wenyewe lakini hoja zake ni za taifa. Tuache kukwepa hoja jibu hoja au nyamaza. Hii style mwaka huu tumeikataa
 
Mmezoea maaskofu mfano wa Gwajiboy huyu Bagonza,shoo,na mwamakula Ni akili kubwa zaidi ya yule Mungu wenu aliyekufa kwa uzembe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…