Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

Nafikiri Paul Makonda asepe nchi tu maana kisasi cha wanyonge ni kibaya sana
Umeamua kusahau ni unwanted? Huyo wanamlia rada tuu kitaeleweka wanamuacha arelax ndio wampelekee moto kisawa sawa
 
Hahaha umepatwa na nini? Alwtan Pohamba si ulisema una pharmacy Mwananyamala watakao vunjwa miguu na mikono utawauzia unga wa POP?
 
a) Tuache wazi milango ya uchunguzi kwa wateule wengine wanaotajwatajwa na kutuhumiwa kutenda uhalifu dhidi ya Katiba na sheria za nchi.
Na kwa kuwa uhalifu huu haukuanza na utawala wa Magufuli, nashauri uchunguzi uanzie huko kwenye awamu zilizotangulia ili mradi pawepo ushahidi unaojitosheleza.

Watu tumeumizwa sana.
 
Uwepo wa katiba mpya utapunguza uozo uliopo.
 
Kwa hiyo serikali iliyopo Samia mmempigia kura ,mpaka awatoe maafisa wa serikali waliochaguliwa na serikali iliyoshinda uchaguz?Kwa hiyo Bagonza ulishiriki katika dhambi ya kumuua Magufuli,ili mpange serikali mnayoitaka?
Magufuli amekufa kwa ujinga na upumbavu wake wa kudharau covid, alistahili kifo kile hakika!
 
Kwa hiyo serikali iliyopo Samia mmempigia kura ,mpaka awatoe maafisa wa serikali waliochaguliwa na serikali iliyoshinda uchaguz?Kwa hiyo Bagonza ulishiriki katika dhambi ya kumuua Magufuli,ili mpange serikali mnayoitaka?
Ni ama hujui au hukwenda kupiga kura kwenye uchaguzi wa 2020, wakati ule unapiga kura kwenye ile karatasi ya kura kulikuwa na picha ya Mafuguli na Picha ya samia pia, kwa hiyo wakati unachagua Magufuli ulikuwa pia unamchagua Samia, kwa maana hiyo Rais Samia aliyepo Madarakani sasa alipigiwa pia kura wakati huo! When you pray for rain you indirectly pray for mud!
 
Kama si ndugu, basi majina ya Ole Sabaya ni mabaya, myafute kama mmeshayaita ndugu au watoto wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…