Askofu Bagonza: Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao

Askofu Bagonza: Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao

Ameongea vyema Askofu Bagonza:

View attachment 2144342

Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.

Tanzania bora kabisa.
Huyu tunamfahamu alikolalia.yuko Biased zaidi.na ndio sababu hata TEC walisusia ule ujumbe wa KKT kwa mgongo wa viongozi wa Dini.
[emoji116]View attachment 2144394View attachment 2144393
FB_IMG_1646304143852.jpg
 
Askofu ksacha madhabahu kahamia kwenye siasa.......safi sana hii ndio Tanzania mpya yenyewe.
 
Askofu ksacha madhabahu kahamia kwenye siasa.......safi sana hii ndio Tanzania mpya yenyewe.

Hamtaki Tanzania ambayo mtoto wa Kingai kuolewa mtoto wa Kibatala ila haya ya kubambikiziana?

IMG_20220305_073032_979.jpg


Watu aina gani nyie?
 
Ameongea vyema Askofu Bagonza:

Hatuhitaji CCM mpya wala CHADEMA mpya, hatuhitaji kaulimbiu mpya. Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao.

Kazi ya kujenga Tanzania mpya ni yetu sote mpaka tufikie hatua ambayo...

Simba anaweza kuishi na Yanga kwa furaha,

Chui acheze na mwanambuzi kwa furaha,

Simba amwalike swala katika sherehe,

Mbwa amuuguze sungura anapougua badala ya kumla ,

MwanaCCM amuoe mwanaCHADEMA bila kufikiriwa kwamba anasaliti,

Afande Kingai amwalike Mbowe kwenye Send Off ya mwanaye,

Tanzania ambamo mtoto wa Denice Urio amuoe mtoto wa Kibatala na iwe furaha na vicheko.


Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.

Tanzania bora kabisa.
AAAAAMEEEEN
 
Back
Top Bottom