Makomando kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makomando kweli kweli
Huu ndio ukweli mchunguTanzania Mpya ni Katiba Mpya.
Huyu tunamfahamu alikolalia.yuko Biased zaidi.na ndio sababu hata TEC walisusia ule ujumbe wa KKT kwa mgongo wa viongozi wa Dini.Ameongea vyema Askofu Bagonza:
View attachment 2144342
Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.
Tanzania bora kabisa.
Huyu tunamfahamu alikolalia.yuko Biased zaidi.na ndio sababu hata TEC walisusia ule ujumbe wa KKT kwa mgongo wa viongozi wa Dini.
[emoji116]View attachment 2144394View attachment 2144393View attachment 2144395
Askofu ksacha madhabahu kahamia kwenye siasa.......safi sana hii ndio Tanzania mpya yenyewe.
Mku hata ss wanakondoo kwani ni hoja ambayo ni wajibu sisi wanakondoo wakeAskofu ajikite kuchunga kondoo.
Mku hata ss wanakondoo kwani ni hoja ambayo ni wajibu sisi wanakondoo wake
AAAAAMEEEENAmeongea vyema Askofu Bagonza:
Hatuhitaji CCM mpya wala CHADEMA mpya, hatuhitaji kaulimbiu mpya. Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao.
Kazi ya kujenga Tanzania mpya ni yetu sote mpaka tufikie hatua ambayo...
Simba anaweza kuishi na Yanga kwa furaha,
Chui acheze na mwanambuzi kwa furaha,
Simba amwalike swala katika sherehe,
Mbwa amuuguze sungura anapougua badala ya kumla ,
MwanaCCM amuoe mwanaCHADEMA bila kufikiriwa kwamba anasaliti,
Afande Kingai amwalike Mbowe kwenye Send Off ya mwanaye,
Tanzania ambamo mtoto wa Denice Urio amuoe mtoto wa Kibatala na iwe furaha na vicheko.
Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.
Tanzania bora kabisa.
wanamagundi hao balaa shauri yako utajikuta unarefuka