Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

Anaandika Askofu Bagonza

Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:

1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.

NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
Ccm inahitaji wajinga wengi ili iendelee kutawala
 
Ujinga ni mzigo
 
Ndio maana figisu zilitumika Sana kutoka kwenye mamlaka za kidunia hata Kama Ni kuvunja katiba ya KKKT ili huyu mwamba asiwe askofu mkuu wa KKKT .
Huyu mwamba ni mwafalsafa wa nyakati hizi namlinganisha na na wanafalsafa wa kipindi kile wa uyunanI ya kale, akina Plato na galileo

Ni vile tu. yupo nchi masikini
 
Tatizo kuu la taifa letu ni wajinga kujiaminisha wanajua huku hawajui kitu.

Hakuna hatari kubwa ndani ya jamii kama kuongozwa na watu wa aina hiyo.

Cha kusikitisha tuna chuo kinachozalisha hao wajinga kwa mamia na maelfu.

Hicho chuo kinamiliki si tu vyombo vya dola bali pia vyombo vya kutoa haki.

Waliofuzu hicho chuo kwao ujinga sio tu ni mtaji bali fursa ya kujizatiti katika ujinga.

Cheti cha juu cha ujinga ni upumbavu na upumbavu huelewesha kama mvinyo.

Chuo Kikuu cha ujinga hapa nchini kinafahamika…
 
Ccm
 
Ukichunguza baraza la mawaziri, usimuone mjinga.....

Ukichunguza maraisi wa nchi za EAC usimuone mjinga....
Ndio Angalia EAC maajuzi wameikubalia Somalia na DRC kuwa wanachama wa EAC na tangu wakubaliwe hawakuwakuwahi kulipa pesa ya kuendesha EAc eti nchi zina vita na Sisi tuendelee kuwabeba Tu huu ni ujinga
 
Anaandika Askofu Bagonza

Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:

1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.

NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
Ameandika kwa usahihi na ni kweli kabisa na ndivyo ilivyo.

Dunia kwa namna ilivyoumbwa na tuionavyo, suala la binadamu kutofautiana halikwepeki.
Maisha yetu hayatofautiani na vurugu tuzionazo mbugani kwa wanyama.
Wapo wastaarabu na wapo wa kinyume chake. Wapigaji - Wapigwaji, wanafunzi - walimu, wakulima - wanunuzi n.k
TUPENDANE
 
Tatizo kuu la taifa letu ni wajinga kujiaminisha wanajua huku hawajui kitu.

Hakuna hatari kubwa ndani ya jamii kama kuongozwa na watu wa aina hiyo.

Cha kusikitisha tuna chuo kinachozalisha hao wajinga kwa mamia na maelfu.

Hicho chuo kinamiliki si tu vyombo vya dola bali pia vyombo vya kutoa haki.

Waliofuzu hicho chuo kwao ujinga sio tu ni mtaji bali fursa ya kujizatiti katika ujinga.

Cheti cha juu cha ujinga ni upumbavu na upumbavu huelewesha kama mvinyo.

Chuo Kikuu cha ujinga hapa nchini kinafahamika…
Ni CCM. Ndiyo maana siku zote nasema CCM ina hazina kubwa sana yawapumbavu, yaani wame-graduate kutoka kwenye ujinga na kuwa wapumbavu.
 
Anaandika Askofu Bagonza

Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:

1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.

2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.

3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.

4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.

5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.

6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.

7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.

8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.

9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.

10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.

Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.

NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
hahahahahah askofu bana!ana misemo yenye ukweli hvii
 
Back
Top Bottom