Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
DunianiAskofu bagonza akili mingi n moja ya wanafalsafa wa kiwango kikubwa east Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DunianiAskofu bagonza akili mingi n moja ya wanafalsafa wa kiwango kikubwa east Africa
Nakubaliana na weweKundi ambalo liongoza kwa kuwa na wajinga wengi ni bunge, lifuwatiwa na wakuu wa kuteuliwa.,
Ukichunguza baraza la mawaziri, usimuone mjinga.....Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.
Ccm inahitaji wajinga wengi ili iendelee kutawalaAnaandika Askofu Bagonza
Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:
1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.
2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.
3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.
4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.
5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.
6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.
7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.
8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.
9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.
10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.
Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.
NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
Watawaambia kusoma hakuna maana wao hawakusoma lakini wamefika Korea hi nchi Ina laana hiiKuna wajinga wamepelekwa Korea waje kuwajaza ujinga watoto wetu. Hata chura ni mjinga
Ujinga ni mzigoAnaandika Askofu Bagonza
Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:
1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.
2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.
3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.
4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.
5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.
6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.
7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.
8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.
9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.
10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.
Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.
NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
Kila siku wajinga wanapunguaCcm inahitaji wajinga wengi ili iendelee kutawala
Dad anajielewaDa huyu dingi uwezo wake ni mkubwa sn
Huyu mwamba ni mwafalsafa wa nyakati hizi namlinganisha na na wanafalsafa wa kipindi kile wa uyunanI ya kale, akina Plato na galileoNdio maana figisu zilitumika Sana kutoka kwenye mamlaka za kidunia hata Kama Ni kuvunja katiba ya KKKT ili huyu mwamba asiwe askofu mkuu wa KKKT .
CcmTatizo kuu la taifa letu ni wajinga kujiaminisha wanajua huku hawajui kitu.
Hakuna hatari kubwa ndani ya jamii kama kuongozwa na watu wa aina hiyo.
Cha kusikitisha tuna chuo kinachozalisha hao wajinga kwa mamia na maelfu.
Hicho chuo kinamiliki si tu vyombo vya dola bali pia vyombo vya kutoa haki.
Waliofuzu hicho chuo kwao ujinga sio tu ni mtaji bali fursa ya kujizatiti katika ujinga.
Cheti cha juu cha ujinga ni upumbavu na upumbavu huelewesha kama mvinyo.
Chuo Kikuu cha ujinga hapa nchini kinafahamika…
Ndio Angalia EAC maajuzi wameikubalia Somalia na DRC kuwa wanachama wa EAC na tangu wakubaliwe hawakuwakuwahi kulipa pesa ya kuendesha EAc eti nchi zina vita na Sisi tuendelee kuwabeba Tu huu ni ujingaUkichunguza baraza la mawaziri, usimuone mjinga.....
Ukichunguza maraisi wa nchi za EAC usimuone mjinga....
Ameandika kwa usahihi na ni kweli kabisa na ndivyo ilivyo.Anaandika Askofu Bagonza
Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali:
1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk.
2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze ahadi hewa.
3. Waganga wa kienyeji: Wanahitaji wajinga wengi wa kuwaletea kuku huku hao wajinga wakilishwa vinyesi na mikojo.
4. Walimu: Wanajitaji wajinga wengi ili wafanye mazoezi ya kufuta ujinga kwa kuuongeza.
5. Watumishi wa serikali wasio waaminifu: Wanahitaji wajinga wengi ili wawatoze rushwa na kuwauzia haki zao.
6. Wahisani na Wafadhili: Wanahitaji wajinga wengi ili wapate pa kupeleka misaada inayodumaza na kuwasaidia kumiliki uchumi wa wajinga.
7. Serikali: Inahitaji wajinga wengi ili waiogope. Kwa kawaida serikali huwaogopa wananchi wanaojielewa.
8. Matapeli wa Mitandaoni: wanahitaji wajinga wengi ili waweze kutajirika bila kufanya kazi.
9. Wafanya biashara: Wanahitaji wajinga wengi ili wanaoamini kuwa kuna duka la bei nafuu.
10. Umaskini na Maradhi: Wanahitajika wajinga wengi ili hawa ndugu waendelea kustawi.
Vita ya kupambana na ujinga haijaanza. Ikianza mniamshe. Hakuna kundi lisilo na mjinga. Ukichunguza kundi usimuone mjinga, tambua wewe ndiye mjinga.
NB: Mimi mniamshe siku mkimuona kiongozi yoyote anapambana watu wake waache ujinga kwenye nchi hii
Yupo vizuri snDad anajielewa
Na badala yake wakamuweka yule kada wa CCM na Afisa Kipenyo MalasusaNdio maana figisu zilitumika Sana kutoka kwenye mamlaka za kidunia hata Kama Ni kuvunja katiba ya KKKT ili huyu mwamba asiwe askofu mkuu wa KKKT .
Ni CCM. Ndiyo maana siku zote nasema CCM ina hazina kubwa sana yawapumbavu, yaani wame-graduate kutoka kwenye ujinga na kuwa wapumbavu.Tatizo kuu la taifa letu ni wajinga kujiaminisha wanajua huku hawajui kitu.
Hakuna hatari kubwa ndani ya jamii kama kuongozwa na watu wa aina hiyo.
Cha kusikitisha tuna chuo kinachozalisha hao wajinga kwa mamia na maelfu.
Hicho chuo kinamiliki si tu vyombo vya dola bali pia vyombo vya kutoa haki.
Waliofuzu hicho chuo kwao ujinga sio tu ni mtaji bali fursa ya kujizatiti katika ujinga.
Cheti cha juu cha ujinga ni upumbavu na upumbavu huelewesha kama mvinyo.
Chuo Kikuu cha ujinga hapa nchini kinafahamika…
Nashangaa kwa nn hawi askofu mkuu, bagonza akili mingi Kkkt ingefika mbaliDuniani
hahahahahah askofu bana!ana misemo yenye ukweli hviiAnaandika Askofu Bagonza