Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

Uchaguzi 2020 Askofu Bagonza: Ujumbe kwa vyombo vya Ulinzi

Hakuna maovu yeyote ila kuna mgombea fulani alitetea ushoga hayo ndio maovu na laana
Acha uongo na kusingizia vitu visivyopo, elewa MUNGU anakuona,
Askofu anataka haki itawale wewe huoni maovuvu yanayofanywa na chama chako?
 
Silaha hawapewi watu wajinga
Mabeberu wanataka wajinga.... Kama sisi
Tunaingia mkataba wa kuwauzia nchi kwa malipo ya silaha
Sisi wengine Kazi ya umachinga tunaweza ninyi wazee wa Mavi 8 lazima muolewe
Unafikiri mchaka mchaka wa Libya mdogo???
 
Toka chumbani kapige kura, ivyo vimkwara muwe mnawatishia Wananchi wa singida mashariki

Nimekuwa nikisema uchaguzi huu ni kama Mashindano kati ya MUNGU NA SHETANI.

Ama ni kati ya Dhuruma na Haki,Chuki na upendo.

AMA KWELI JIWE AKISHINDA NITAAMINI KUWA KWELI SHETANI NI MTAWALA WA DUNIA
 
Toka chumbani kapige kura, ivyo vimkwara muwe mnawatishia Wananchi wa singida mashariki
Hata kule Libya watu wa Gaddafi walikua wanasema hivyo.

Je, wajua Gaddafi alikua anakubalika Sana Libya lakini baadae mzoga wake uliwekwa kwenye jumba la maonyesho watu Wakawa wanaangalia tu.

Mabeberu ni matajiri Sana lakini hawana raslimali.... Sasa sisi tupo tayari kuwapo raslimali tupambane Mavi 8 yatawatokea puani
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
We kilaza, kwahio asiwasemee kondoo anawowaongoza!! hujui kuwa miongoni mwa waumini wake, wengine ni wanaccm wenzako!! hivi ukiwa mwachama wa ccm huwa mnavutishwa bangi!! maana sio kwa ujinga huu!!
 
But Askofu kama kweli Wewe ni mshauri Kwanini unapenda kuegemea Chadema tu?

Unamaanisha Chadema ndio hawakosei ?

Mbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
papa ameshapitisha soon roman catholic nao watawasupport mashoga coz nao ni viumbe wa Mungu sijui unalionaje hili?
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Angalieni msivyo na akili, vyombo vya ulinzi ni vya wananchi na ndio kodi zao zinavihudumia!

Hakuna shamba jiwe na mkewe wanalima kulisha vyombo vya ulinzi!
 
Hapo Chadema mnaruhusu wanaume kuoana ?
Hata kule Libya watu wa Gaddafi walikua wanasema hivyo
Je wajua Gaddafi alikua anakubalika Sana Libya lakini baadae mzoga wake uliwekwa kwenye jumba la maonyesho watu Wakawa wanaangalia tu
Mabeberu ni matajiri Sana lakini hawana raslimali.... Sasa sisi tupo tayari kuwapo raslimali tupambane Mavi 8 yatawatokea puani
 
Mzee Bagonza anajidanganya kutetea wanasiasa wachumia matumbo.hao wanasiasa anaowatetea ndani ya vyama vyao akuna haki wala uhuru.
sikwambii yeye Bagonza na shutuma kedekede juu ya mambo yake kama kiongozi wa madhabahu.
 
Ndio sera ya Chadema wanaume kuoana ?
Bado kidogo utasema yote
Mimi Sina chama ila Sipendi maonevu na majivuno
Kwa nini watu wengine wafurahie matunda ya uhuru wengine wangine wanyanyaswe kwenye nchi yao
Why
Why
Why
Nakwambia Tena watu walio uza Libya kwa mabeberuu hawakua wajinga kama unavyo fikiri
 
Jibu swali acha porojo hapo ufipa mnaruhusu wanaume kuoana ?
Bado kidogo utasema yote
Mimi Sina chama ila Sipendi maonevu na majivuno
Kwa nini watu wengine wafurahie matunda ya uhuru wengine wangine wanyanyaswe kwenye nchi yao
Why
Why
Why
Nakwambia Tena watu walio uza Libya kwa mabeberuu hawakua wajinga kama unavyo fikiri
 
But Askofu kama kweli Wewe ni mshauri Kwanini unapenda kuegemea Chadema tu?

Unamaanisha Chadema ndio hawakosei ?

Mbona hukemei ushoga ambaye mgombea wa chadema Aliwatetea ?
Katiba ya nchi inasemaje juu ya ushoga?
 
Askofu Bogonza hudumia kondoo wako, mambo ya vyombo vya ulinzi kwako ni makubwa hujui kitu

Vyombo vya ulinzi ndio vinawapa waumini wako wasaa wa kutafuta sadaka wakuletee jumapili

Bila Amani, usingepata sadaka hapo kanisani kwako
Dah!! We jamaa ni hatari sana kwa mustakabali wa usalama wa Nchi. Watu kama nyinyi ndio mnaopaswa kupigwa risasi kwa sababu hamna faida yoyote kwa jamii. Yaani wewe kila kitu unajitoa akili tu.
 
Acha uongo na kusingizia vitu visivyopo, elewa MUNGU anakuona,
Askofu anataka haki itawale wewe huoni maovuvu yanayofanywa na chama chako?

AIBU! ASKOFU BAGONZA WA KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA​

Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa Arusha amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini hapa katikati ya wiki iliyopita, Peace alidai Askofu Bagonza ni mzazi mwenzake kwa kuzaa naye watoto wawili, Piana Bagonza (6) na Bariki Bagonza (3) lakini akadai amemtelekeza hivyo kuwa na maisha magumu katika kuwalea watoto hao.

AANIKA HISTORIA NDEFU
Peace alisema alianza kufahamiana na askofu huyo mwaka 2006 mjini Karagwe, Kagera akiwa ni muumini wa kanisa hilo akimtumikia Mungu kwa kuimba kwaya ya kanisa.
Alisema katika kuonana mara kwa mara na askofu huyo ndipo uhusiano ukaanza lakini kwa makubaliano ya kutunza siri.

“Askofu aliniambia ana mke lakini ananipenda na anataka kuwa na uhusiano na mimi. Aliniahidi kunisaidia masuala mbalimbali iwapo nitamkubalia.“Baada ya muda niliamua kumkubalia, tukawa na uhusiano na tulikuwa tunakutana mara kwa mara. Ilipofika mwaka 2008 nikapata ujauzito wa mtoto wa kwanza,” alisema Peace.

AHAMIA ILEMELA, MWANZA
Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa, baada ya kupata ujauzito, askofu huyo aliamua kumhamishia Ilemela mkoani Mwanza na kumpangishia chumba ambapo mwaka 2009 alijifungua mtoto wa kike, Piana.

AHAMIA ARUSHA
Peace aliendelea kudai: “Mtoto wangu alipofikisha umri wa miaka miwili, yaani mwaka 2010, askofu alinihamishia hapa Arusha na kunipangia chumba eneo la Kijenge Juu na kunitafutia kazi kwenye Hoteli ya Safari (New Safari Hotel). Hii hoteli inamilikiwa na KKKT.” Alisema: “Askofu alikuwa akija hapa Kijenge kumsalimia mtoto na kumwachia matumizi mbalimbali huku akisisitiza kutunza siri zaidi.”

ANASA MIMBA YA PILI
“Ilipofika mwaka 2011 nilipata ujauzito mwingine wa askofu ila cha kushangaza nilipomfahamisha aliniambia hataki kusikia taarifa hizo.“Niliweka msimamo wa kutotoa ujauzito na yeye akasitisha huduma mbalimbali ikiwemo fedha za malipo ya chumba alichonipangia.

“Alianza kunipigia simu na kunitisha kuniachisha kazi aliyonitafutia hotelini bila kupewa malipo yoyote. Alikuwa akinitumia watu mbalimbali kunitishia maisha. “Kutoka na hali hiyo nililazimika kumtafuta kiongozi mmoja wa ngazi ya juu kanisani na kumwambia jinsi askofu alivyonitelekeza kwa zaidi ya miaka minne bila kunihudumia nikiwa na watoto wake wawili.

“Hata hivyo, kiongozi huyo aliniambia atalishughulikia suala langu, lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea na nikimkumbusha amekuwa akinijibu kwa ukali na kunikatia simu.”

WATOTO HAWAENDI SHULE
Peace alisema: “Kwa sasa naishi kwa shida na watoto. Hawaendi shule baada ya kukosa ada.

ASKOFU NA IJUMAA WIKIENDA
Akizungumza kwa simu na gazeti hili huku akihifadhiwa sauti, Askofu Bagonza alikiri kumtambua Peace kama mzazi mwenzake ila alisema si kweli kama hamtumii matumizi.“Mbona fedha huwa namtumia labda ameamua kunichafua tu. Hata juzi nimemtumia shilingi 250,000 iweje asema simhudumii?” alisema askofu huyo na kukata simu.

Kwa upande wake, Peace alipoulizwa kuhusu kutumiwa kiasi hicho cha fedha, alisema: “Fedha hizo nilizipokea kutoka kwa wakala wa M-Pesa baada ya jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya dola (polisi).”Taarifa zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa mwanamke huyo ameitwa Karagwe kwenda kuongelea suala hilo.
 
Back
Top Bottom