Askofu Bagonza: Vita ya Kagera VS Corona

Jina Askofu/ Padri/ Shekhe na majina mengine yanayowakilisha mjumbe wa Mungu, ni majina makubwa Sana, yanaheshima ya kipekee, Ni majina yanayopatikana Kwa sifa ya kubeba mamlaka nyingine, ili kulinda hadhi ya jina Hilo na kuondoa ukakasi na kuwapa watu Uhuru wa kuchambua mada mfu zinazoletwa na viongozi wa Dini, ni Bora wajisajiri hapa Kwa majina Yao halisi au majina feki, hii itawapa nafasi hata wafuasi wao kuchambua hoja zao

Maana kunahoja zingine zinaletwa hapa na viongozi wetu wa dini ni dhaifu na zinamaudhui ya kisiasa Wakati mamlaka walizozivaa hazina ushirika na siasa, Wala kuonesha upendeleo Kwa Baadhi ya makundi

Kwani, ikiwa Dunia itashindwa kuunganisha watu,moja Kwa moja inakuwa hata wao wanahusika kuibomoa jamii Kwa sababu ya kule kuegemea upande

Wakati umefika wa kila mtu asitumie cheo chake kuleta hofu ya watu kujadiri kile mtu anawasilisha hapa, Wajisajiri Kwa majina Yao, kama ni Jambo la kushauri watumie hivyo vyeo vyao, na nafasi ya kushauri hawa watu, wanaruhusiwa kuingia popote pale kupeleka Ushauri wao,

Vinginevyo vinavyofanyika hapa ni siasa Tu hakuna lingine,

Mtu ukizungumzia vita, mkuu wa nchi anaweza kutangaza vita hata akiwa kijijini kwetu kule Kimokela kule, na vita vtapiganwa

Raisi, mahali popote aweza kwenda na akafanya kituo na mipango yote ikaanza kufanyika Kutokea hapo alipo,

Je kwani akiwa Tu Dar-es-salaam ndio mipango mizuri ya kivita itafanikiwa!!

Baba Askofu, Kwanza ni lazima kutofautisha vita vya Kagera vita ambavyo unapigana na kitu kinachoooneka,

Baba Askofu, nilidhani Kwa upande wenu kama watumishi wa Mungu,na Kwa vile vita hivi ni vya Kiroho, basi nyinyi ndio muwe maamiri Jeshi wa vita hivi, maana Biblia ninayoisoma Mimi, inaniambia, vita vya kiroho hupiganwa katika ulimwengu huo huo wa Kiroho, inakuwaje ninyi ndio mnaanza kulalamikia huu ulimwengu usioona chochote?
Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.

Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.

Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.

Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.

Hongera baba askofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Mimi nimeelewa vizuri Sana, na wewe usiponielewa basi, Kwa sababu mkuu, Raisi alivitangaza hivi vita akiwa kanisani na kuwaomba watu waombe kukemea hili gonjwa, Askofu pia alisikia hili tangazo na pengine alipongeza Kwa maamuzi hayo na usikute kwamba alinukuu na mistari ya Biblia kupongeza Uongozi na maamzi ya namna hiyo

Kama ni Hivyo, Kwa nini leo ndio akosoe badala ya siku ileile ya Kwanza ya tangazo? Wakati Raisi akitangaza namna ya kudili na Corona mbona alinyamaza?

Sio unafiki huu unaofannywa na viongozi wetu wa Dini,? Kwa nini wanamruka Raisi leo? Kwa sababu Hali imekuwa haitabiriki siyo? Ashumu sasa kwamba, kama Hadi Leo maambukizi yangebaki ni yaleyale, asikofu angekuja na ngonjera gani leo?

Mkuu Acha kushabikia siasa za viongozi wetu wa dini, wamshauri Raisi sio kuleta ngonjera zisizo na msingi,

Siku Ile Raisi anasema tangazo lake, Viongozi wa Dini mbona hawakukataa na Kwanini walishindwa kumshauri Raisi pale pale kwamba kuwe na namna nyingine, Iweje baada ya siku nyingi kupita?

Wachukue Kadi za kugombea ubunge hata uraisi na udiwani ili tujue moja, maana sifa ya kipngozi wa Dini si hizo ambazo wengi leo wanatuonesha,

Sifa Yao ni kushauri na kukemea bila woga na bila kupepesa macho, sio hizo ngonjera na fasihi zilizojificha kwenye egemeo,
 
Jina Askofu/ Padri/ Shekhe na majina mengine yanayowakilisha mjumbe wa Mungu, ni majina makubwa Sana, yanaheshima ya kipekee, Ni majina yanayopatikana Kwa sifa ya kubeba mamlaka nyingine, ili kulinda hadhi ya jina Hilo na kuondoa ukakasi na kuwapa watu Uhuru wa kuchambua mada mfu zinazoletwa na viongozi wa Dini, ni Bora wajisajiri hapa Kwa majina Yao halisi au majina feki, hii itawapa nafasi hata wafuasi wao kuchambua hoja zao

Maana kunahoja zingine zinaletwa hapa na viongozi wetu wa dini ni dhaifu na zinamaudhui ya kisiasa Wakati mamlaka walizozivaa hazina ushirika na siasa, Wala kuonesha upendeleo Kwa Baadhi ya makundi

Kwani, ikiwa Dunia itashindwa kuunganisha watu,moja Kwa moja inakuwa hata wao wanahusika kuibomoa jamii Kwa sababu ya kule kuegemea upande

Wakati umefika wa kila mtu asitumie cheo chake kuleta hofu ya watu kujadiri kile mtu anawasilisha hapa, Wajisajiri Kwa majina Yao, kama ni Jambo la kushauri watumie hivyo vyeo vyao, na nafasi ya kushauri hawa watu, wanaruhusiwa kuingia popote pale kupeleka Ushauri wao,

Vinginevyo vinavyofanyika hapa ni siasa Tu hakuna lingine,

Mtu ukizungumzia vita, mkuu wa nchi anaweza kutangaza vita hata akiwa kijijini kwetu kule Kimokela kule, na vita vtapiganwa

Raisi, mahali popote aweza kwenda na akafanya kituo na mipango yote ikaanza kufanyika Kutokea hapo alipo,

Je kwani akiwa Tu Dar-es-salaam ndio mipango mizuri ya kivita itafanikiwa!!

Baba Askofu, Kwanza ni lazima kutofautisha vita vya Kagera, vita ambavyo unapigana huku ukimuona adui.

Baba Askofu, nilidhani Kwa upande wenu kama watumishi wa Mungu,na Kwa vile vita hivi ni vya Kiroho, basi nyinyi ndio muwe maamiri Jeshi wa vita hivi, maana Biblia ninayoisoma Mimi, inaniambia, vita vya kiroho hupiganwa katika ulimwengu huo huo wa Kiroho, inakuwaje ninyi ndio mnaanza kulalamikia huu ulimwengu usioona chochote?
Jambo moja ninalokusifu, ni uwezo wako wa kuielewa fasihi na falsafa ya Askofu. Wengi wameishia kufikiria anayelengwa ni Makonda.
 
Kwahiyo akija mkuu wa mkoa mwengine Corona itaisha au yeye ndio itakuwa dawa ya Corona au? inabidi dunia ibadilishe viongozi wote maana wameshindwa kuidhibiti Corona

Sent from Tapatalk
Mkuu hiyo ni falsafa kama akili yako ni ya kama kina bashite na kibajaji ww pita tu.
 
Hii ni Crisis. Wakati nikichukua mafunzo ya Crisis Management yaliotolewa na NATO, niliambiwa kukitokea Crisis yeyote, automatically mkubwa kuliko wote ndiye mkuu wa Crisis Management Team. Na huyu wakati wote anakuwa na Management yake wakati wote huku akipokea na kutoa maelekezo, na kufanya continuous assessment. Rais wetu ambaye ndiye mkuu wa Crisis Management Team yupo Chato, sina uhakika, yawezekana yupo huko na Baraza lake lote la Mawaziri.
 
Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?

Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.

Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

..Askofu amerusha mawe mawili.

..sijui kama uv-ccm wana upeo wa kuona hilo.
 
Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.

Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.

Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.

Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.

Hongera baba askofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya kula mataputapu ya kigogo!
Selikali imetoa mpaka namba ya kupiga ili kama unajihisi unadalili za corona au jirani yako upige waje kukuchukua kisha wewe unasema watu wanaogopa? Wanaogopa kitu gani?

Ndio maana tukasema na yeye anaakili za kibavicha!

Sasa ni vipi kama tukisema kwa nafasi yake hakusimama vizuri ndio maana gonjwa limezagaa tutakuwa tunakosea?

Sijaona huo ujumbe wa askofu kama una maana, hili ni janga la dunia, sasa kote huko wamezembea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nashangazwa ina maana hospital ya Mloganzila na Temeke na kibaha zinahudumia wagonjwa hawa 49 tu including na wale zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.

Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.

Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.

Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.

Hongera baba askofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa inawezekana ningeaattach hapo juu hii hasa ndio maana ya askofu.
 
Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?

Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.

Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe kweli umeona umejibu hoja apo.....aaah. Sisi kwetu tuna msemo kua ukiona nyumba ya jirani ina ungua basi jirinde nawe usije ukaunguza ..
Yaani ni upuuzi tu uliopitiliza kua mataifa mengine kama wamepata madhara basi ni halali na nyie watanzania mkakumbana na hiyo suluba.
Elimu: Mwaka 1926 Dunia ilipata msukosuko wa anguko la Uchumi( GREAT DEPRESSION) lakini nchi ya Urusi ilikua salama sana.Je,Urusi ilikua nje ya Dunia?
 
Ndio maana tukasema na yeye anaakili za kibavicha!

Sasa ni vipi kama tukisema kwa nafasi yake hakusimama vizuri ndio maana gonjwa limezagaa tutakuwa tunakosea?

Sijaona huo ujumbe wa askofu kama una maana, hili ni janga la dunia, sasa kote huko wamezembea?

Sent using Jamii Forums mobile app

..kote ambako wanapigwa na covid19 ni kutokana na UZEMBE.

..Donald Trump alikuwa mzembe na mjuaji ndiyo maana leo Wamarekani wanapukutika.
 
Ru
Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?

Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.

Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Rudia kusoma utamuelewa, then povu litakushuka taratibu
 
Hii ni Crisis. Wakati nikichukua mafunzo ya Crisis Management yaliotolewa na NATO, niliambiwa kukitokea Crisis yeyote, automatically mkubwa kuliko wote ndiye mkuu wa Crisis Management Team. Na huyu wakati wote anakuwa na Management yake wakati wote huku akipokea na kutoa maelekezo, na kufanya continuous assessment. Rais wetu ambaye ndiye mkuu wa Crisis Management Team yupo Chato, sina uhakika, yawezekana yupo huko na Baraza lake lote la Mawaziri.
Enzi za ujima ilibidi iwe hivyo... lakini pia ni muhimu kumlinda mkuu Kwa njia yoyote Ile... distance siku hizi sio issue unless kama Baraza lake kila likikutana inabidi wapeane hugs kabla na baada ya kikao.
 
Mkuu hv ukishakuwa huko kijani mnafutishwa bangi?

Mnafutishwa ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Kama Kiswahili Fasaha tu hamjui mtaweza kweli Kuaminiwa na Watanzania muwaongoze?
 
Ndio shida ya kula mataputapu ya kigogo!
Selikali imetoa mpaka namba ya kupiga ili kama unajihisi unadalili za corona au jirani yako upige waje kukuchukua kisha wewe unasema watu wanaogopa? Wanaogopa kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua unamjibu Nani? Ungeogopa Sana. Lkn jamii forum iko vile unajificha hujui unaongea na Nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom