Askofu Bagonza: Vita ya Kagera VS Corona

Vita vya corona hupiganwa kwa viongozi kuhimiza kunawa mikono kuzuia salam za kushikana mikono pia kupiga marufuku school bus kujaza watoto wadogo wa daraja la kwanza kuchangamana na wa darasa la sita saba kwani wakubwa wakipiga chafya watoto wadogo hawajui kujikinga hupokea kumeza virusi bila kizuizi, Kiongozi mzuri ni yule anayehimiza kinga mda wote pasipo kuacha wala kumpumzika
 
Watu wana hofu kutoa takwimu ni kosa la jinai kwa utawala huu, watu wengi hufia majumbani na hata mahospitalini lakini hawasemi ni corona bali wanasema ni Nimonia jina la corona ya Tanzania, watawala wanataka watu wafe kwa wingi ili WHO ilete pesa nyingi kuikabili corona kisha waitumie Hiyo pesa kujenga Reli. Mtaji wao sasa ni kuipuuza corona ipate kusambaa wafe wengi ili wapate misaada mikubwa zaidi.
 
Mbona wewe huna Akili timamu unawezaje kujua Asikofu hana Akili? Siku ukiacha kuvuta Bangi na kujiona una Akili ndipo uje kukosoa chochote lakini kwa sasa huna Akili yeyote huna kigezo cha kumnyoshea Asikofu kidole
 
Ndio shida ya kula mataputapu ya kigogo!
Selikali imetoa mpaka namba ya kupiga ili kama unajihisi unadalili za corona au jirani yako upige waje kukuchukua kisha wewe unasema watu wanaogopa? Wanaogopa kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unatangaza biashara zako za mataputapu unayouza huko kigogo kwako kwa njia haramu za kishetani, ni Serikali ipi unaisemea? Serikali yako si ilisema hakuna corona? Hakuna kutoa takwimu wala kusambaza taarifa za corona ambayo wameibatiza jina inaitwa Nimonia, corona inaua unashangaa watu wanaogopa kitu gani? Kitu hicho ni corona kwani inaua ndugu rafiki Jirani na wewe itakufikia mda si mrefu maana unamkufuru mungu
 
Watetezi wa CCM mitandaoni ambao hawamuogopi mungu wapo gheto kwao wanavuta Bangi mda si mrefu watamiminika humu kumpinga Asikofu wakiwa na nia ya kusaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani pasipo kujali Afya za ndugu zao watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…