Askofu Bagonza: Vita ya Kagera VS Corona

Askofu Bagonza: Vita ya Kagera VS Corona

Jina Askofu/ Padri/ Shekhe na majina mengine yanayowakilisha mjumbe wa Mungu, ni majina makubwa Sana, yanaheshima ya kipekee, Ni majina yanayopatikana Kwa sifa ya kubeba mamlaka nyingine, ili kulinda hadhi ya jina Hilo na kuondoa ukakasi na kuwapa watu Uhuru wa kuchambua mada mfu zinazoletwa na viongozi wa Dini, ni Bora wajisajiri hapa Kwa majina Yao halisi au majina feki, hii itawapa nafasi hata wafuasi wao kuchambua hoja zao

Maana kunahoja zingine zinaletwa hapa na viongozi wetu wa dini ni dhaifu na zinamaudhui ya kisiasa Wakati mamlaka walizozivaa hazina ushirika na siasa, Wala kuonesha upendeleo Kwa Baadhi ya makundi

Kwani, ikiwa Dunia itashindwa kuunganisha watu,moja Kwa moja inakuwa hata wao wanahusika kuibomoa jamii Kwa sababu ya kule kuegemea upande

Wakati umefika wa kila mtu asitumie cheo chake kuleta hofu ya watu kujadiri kile mtu anawasilisha hapa, Wajisajiri Kwa majina Yao, kama ni Jambo la kushauri watumie hivyo vyeo vyao, na nafasi ya kushauri hawa watu, wanaruhusiwa kuingia popote pale kupeleka Ushauri wao,

Vinginevyo vinavyofanyika hapa ni siasa Tu hakuna lingine,

Mtu ukizungumzia vita, mkuu wa nchi anaweza kutangaza vita hata akiwa kijijini kwetu kule Kimokela kule, na vita vtapiganwa

Raisi, mahali popote aweza kwenda na akafanya kituo na mipango yote ikaanza kufanyika Kutokea hapo alipo,

Je kwani akiwa Tu Dar-es-salaam ndio mipango mizuri ya kivita itafanikiwa!!

Baba Askofu, Kwanza ni lazima kutofautisha vita vya Kagera, vita ambavyo unapigana huku ukimuona adui.

Baba Askofu, nilidhani Kwa upande wenu kama watumishi wa Mungu,na Kwa vile vita hivi ni vya Kiroho, basi nyinyi ndio muwe maamiri Jeshi wa vita hivi, maana Biblia ninayoisoma Mimi, inaniambia, vita vya kiroho hupiganwa katika ulimwengu huo huo wa Kiroho, inakuwaje ninyi ndio mnaanza kulalamikia huu ulimwengu usioona chochote?
Vita vya corona hupiganwa kwa viongozi kuhimiza kunawa mikono kuzuia salam za kushikana mikono pia kupiga marufuku school bus kujaza watoto wadogo wa daraja la kwanza kuchangamana na wa darasa la sita saba kwani wakubwa wakipiga chafya watoto wadogo hawajui kujikinga hupokea kumeza virusi bila kizuizi, Kiongozi mzuri ni yule anayehimiza kinga mda wote pasipo kuacha wala kumpumzika
 
Kuna wengine hamuwezi kuelewa hata kwa picture.

Baba askofu anamanisha kuwa, hatukuchukua tahadhari yoyote. Lkn pia baada ya ugonjwa kuingia hatujajipanga kuushinda.

Leo hii wagonjwa wamejoficha ndani, majirani wanaogopa kutoa taarifa lakini wengine vifo vinawakuta bila kujulikana anaumwa Nini.

Mlipuko ni vita, ndio maana tunafanya mazoezi magumu wakati wa amani ili vita itakapotokea kupunguza vifo na majeruhi.

Hongera baba askofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wana hofu kutoa takwimu ni kosa la jinai kwa utawala huu, watu wengi hufia majumbani na hata mahospitalini lakini hawasemi ni corona bali wanasema ni Nimonia jina la corona ya Tanzania, watawala wanataka watu wafe kwa wingi ili WHO ilete pesa nyingi kuikabili corona kisha waitumie Hiyo pesa kujenga Reli. Mtaji wao sasa ni kuipuuza corona ipate kusambaa wafe wengi ili wapate misaada mikubwa zaidi.
 
Yani ukiwa na akili za kibavicha ni tabu tupu, kwa akili ya askofu anafikiri kwamba dunia yote imeshindwa kudhibiti corona sababu ya ubovu wa makamanda au wa wakuu wa mikoa.?

Angekuwa na akili angalau angeongelea hili suala kiimani zaidi, kwamba Mungu anataka tufanye nini katika nyakati kama hizi au hiki janga lina maanisha nini kiimani.

Lakini nae kaja na mipasho ileile ya kiufipa. Tabu tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe huna Akili timamu unawezaje kujua Asikofu hana Akili? Siku ukiacha kuvuta Bangi na kujiona una Akili ndipo uje kukosoa chochote lakini kwa sasa huna Akili yeyote huna kigezo cha kumnyoshea Asikofu kidole
 
Ndio shida ya kula mataputapu ya kigogo!
Selikali imetoa mpaka namba ya kupiga ili kama unajihisi unadalili za corona au jirani yako upige waje kukuchukua kisha wewe unasema watu wanaogopa? Wanaogopa kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unatangaza biashara zako za mataputapu unayouza huko kigogo kwako kwa njia haramu za kishetani, ni Serikali ipi unaisemea? Serikali yako si ilisema hakuna corona? Hakuna kutoa takwimu wala kusambaza taarifa za corona ambayo wameibatiza jina inaitwa Nimonia, corona inaua unashangaa watu wanaogopa kitu gani? Kitu hicho ni corona kwani inaua ndugu rafiki Jirani na wewe itakufikia mda si mrefu maana unamkufuru mungu
 
Watetezi wa CCM mitandaoni ambao hawamuogopi mungu wapo gheto kwao wanavuta Bangi mda si mrefu watamiminika humu kumpinga Asikofu wakiwa na nia ya kusaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani pasipo kujali Afya za ndugu zao watanzania.
 
Back
Top Bottom