Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
ETI ndio WAWAKILISHI wa WANANCHI"Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge wamekubaliana na serikali kuwanyonya wananchi. Nani mtetezi wa wananchi?"
Askofu Bagonza
Wananchi Tanzania miaka yote hawana mtetezi, na hata wananchi wakiamua kukimbilia kwenye mhimili wa tatu (mahakama) nako watashindwa kwasababu hizo tozo tayari zipo kisheria, hapa wananchi ni sawa na tumefungwa pingu mikononi na miguuni.
Bibie Upoupo tu kutwa kuchaa JF , na unanuka shomo la samaki wa feri. Kaoshe kwanza halafu upunzike.Mwambie atulie!
Si ndio huyu nae alikuwa anademka tu siku Mwigulu anasoma bajeti?
Mahakama hizi za CCM au nyingine?!Kuna baadhi ya sheria mahakama inaziRevoke mbona
Tunahimizwa tuchangie kodi lakini ubadhirifu ukifanyika hauwekwi hadharani na wala hakuna anaewajibija. Matokeo ya tume ya wizi wa BoT yamefanyiwa kazi gani?
Inavunja moyo hata kuchangia kodi katika serikali hiiCAG Kichere katishiwa maisha yake kisa kufanya kazi zake lakini si samia au yeyote yule ndani ya hii Serikali ya waporaji uchaguzi aliyekemea vitisho hivyo.
Tunahimizwa tuchangie kodi lakini ubadhirifu ukifanyika hauwekwi hadharani na wala hakuna anaewajibija. Matokeo ya tume ya wizi wa BoT yamefanyiwa kazi gani?
Unamdharau na kumuona mpuuzi tu asiye na maana.Baba au mama akiwa mwizi nyumbani unamfanyaje??
Huyu ni askofu asieelewa nn anakifanya ila anatumia haki yqke kikatiba kutoa maoni yake lkn uenda yeye Ni msomi kuliko Mimi lkn muumba bado hajamfahamisha maana navyotambua mihimili ya nchi iko mitato yaan mahakama bunge na serikal Sasa huyu serkali ndo kila kitu na rahis wa awamu ya tano alituambia ukwel hakuficha kwamba yeye ndo mkuu wa dola wengine mumsikilize yeye lkn Kama haitoshi nimuongezee askofu kwamba Dola Ni ukabaji,uporaji,ujasusi na dhuluma dhidi ya raia wake Sasa ukihubir haki au ukiitaka haki serkalini Ni kupikia jiko la kuni kwenye mafuriko ebu ajikite kwenye kuwaelekeza watu wasiwashangalie viongoz wa serkali pale wanapokuja na uongo isipokuwa wakimbilie kanisani wamuache mwana siasa abwabwaje mwenyewe"Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge wamekubaliana na serikali kuwanyonya wananchi. Nani mtetezi wa wananchi?"
Askofu Bagonza
Unamdharau na kumuona mpuuzi tu asiye na maana.
Is that all you can say?Basi inatosha kuwaona walioiba BOT wapuuzi na wasio maana.