Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Anakuwa kama yule Dr Shoo, kila kukicha manung'uniko na vijembe vingi. Uzuri ni kwamba JPM ana msimamo huwezi myumbisha kijinga tu.
 
Hizo ni philosophical argument mzee inahitaji akili kubwa
 
Uliyo andika yanaonyesha fika kua hata wewe huna furaha, ya kweli.
 
Mkuu kwa sura hii hii,bila kujali ulichokiongea ni kweli ama laa. Naomba unipe tathmini ya PhD ya 'mkulu' huku ukihusianisha na matamko,hatua na miongozo anayoitoa kila siku kwenye uwajibikaji wake,na mwisho uhitimishe kama PhD yake inajidhihiri ndani yake ama?
 
Jiwe gizani.

Sisi PhD yake haituhusu tunaangalia kile anachokisema je kina ukweli?

Yule sio Pengo wala Nyaisonga.
Kweli kuna maaskofu mfano wa Pengo na Nyaisonga bila kuisifia Serikali ni kama wanashinda njaa, ila huyu kusema ukweli tu anaonekana kana kwamba ana PhD feki, kweli Watanzania wengi ni wafuata mkumbo tu. ukweli ni kwamba karibu wooote hatuna FURAHA ya kweli.
 
Kajifungue basi kama umenuna
 
Sipingani nawa mkuu ila ukweli ni kwamba Phd ya jiwe inaonekana kiasi kwenye utendaji, ila linapokuja suala la matamko yake yaani ni borea angekaa tu numbani wakatu mwingine kuificha aibu yake binafsi au anayo wasababishia wengine kwa kutokua na simile kwa baadhi ya mambo. Hua anaropoka sana hadi inaharibu ile level aliyonayo.
 
Sijaona popote alipoandika Nchi nzima!! Au mwenzetu unabandiko lako!?
 
Ukiona kiongozi wa kiroho ana mawazo yanamna hii hapo tambua hakuna kitu,maana mwenye wajibu wakuiamuru furaha ikae ni yeye
 
PhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
Bila shaka yehodaya huna furaha[emoji1787]

Hata Mimi Sina furaha kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…