Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Mwenye PhD before kutoa statement lazima awe na data reliable na verifiable huyo askofu Koko Na PhD yake Koko aondoe neno DR. Kwenye jina lake anadhalilisha digrii za Phd
PhD ya ndege
 
Afu NA wewe hofu yako juu ya Askofu Pia huna Furaha. Uzuri mm nina demu anaitwa Furaha
 
Chuo kilichomtunuku shehe alhad na zubery
Ukishawaona shehe Alhad na zuberi wanajibizana na yeyoye Mitandaoni Kama huyo askofu Koko Bagonza? Ulishawaona wakiongea hata na press Wakiwa na jazba Kama akina Bagonza? Kwenye uislamu hasa ule wa Bakwata wanakotokea hao wawili hekima na utulivu wa kuongea Ni kitu namba moja kinachosisitizwa kuanzia mtoto akiwa madrasa.Anaambiwa hata usome Hadi maka Kama huna hekima na utulivu kwenye kuongea ni bure kabisa uko sawa na asiyesoma.

Ndio maana wasomi wa kiislamu hasa wa Bakwata huwezi waona Wana jazba kwenye hoja Wala kukosa hekima hasa wasomi walio chini ya Bakwata

Namkumbuka shehe mkuu mmoja wa Bakwata alikuwa Anaitwa shehe hemed bin Juma bin Hemen akitoa mawaidha siku ya ijumaa utapenda .Kuna siku akiongea kuhusu watu kuacha uzinzi na uongeaji hovyo akasema Duniani.kuna vitu viwili vinavyoweza mwangamiza mtu Cha kwanza Ni kile kiungo kilicho katikati ya mataya na mdomo kinachoitwa asilani na kile kiungo kilicho katikati ya mapaja kinachoitwa abadani.Akaeema hivi viungo viwili ndipo maangamizi makuu ya binadamu yapo
 
Pengo na Sheikh Alhad Musa hawawatoshi kuwalamba makalio? Huyo askofu PhD hawezi kufanya upuuzi wenu wa kusifu na kuabudu.
Jamaa wa Lumumba wanapenda sana kulambwa makalio ndio maana wapuuzi kama Bashite wanaendelea kuotesha hips na makalio kila leo!
 
Washabaki wanaendaje kushangilia mechi hali wanajua timu mojawapo imeweka mpira kwapani?
 
Tumekusoma kidumu cha Meko, maana Meko anaowengi mno ukiachana na mama Jeska!Wengine amewahonga mpaka Hotel pale Shekilango!
 
PhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
We mwenyewe unambeza Askofu huna furaha ndio maana umejibu kwa ghadhabu
 
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha

Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Mpaka watu waanze kuuana ndio muende kuwaomba maaskofu wawasaidie kwenye usuluishi?
 
Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Kama askofu Bagoza anatakiwa kuimba taarabu, na yule kichaa Meko wa jumba jeupe si anatakiwa awe Temeke Mzimuni anaimba singeli????
 
Kama askofu Bagoza anatakiwa kuimba taarabu, na yule kichaa Meko wa jumba jeupe si anatakiwa awe Temeke Mzimuni anaimba singeli????
Nafasi zao ni mbili tofauti kabisa, majukumu ya huyo wa jumba jeupe akipewa huyo Baba askofu wa mkoa wetu wa Kagera hawezi kuyatimiza hata kwa siku moja tu.

Wa jumbe jeupe kwa nafasi yako anatenda kazi, kwake maongezi yanakwenda sambamba na vitu tangible.
 
Hii ni tofauti kidogo na mpira,kwenye mpira mpinzani asipotokea unapewa point zako na hakuna mechi. Kwa jana kuna maeneo kadhaa ambayo wapiga kura(wakiwemo wa ccm) walitakiwa kujitokeza kuchagua viongozi ndio maana hata pengo alihimiza watu wajitokeze lakini kinyume chake walimpuuza.
Washabaki wanaendaje kushangilia mechi hali wanajua timu mojawapo imeweka mpira kwapani?
 
Hivi hali iliyopo Tz inahitaji utafiti? Mbona hata mimi nisiye na PhD sihitaji kufanya utafiti kuona hali ilivyo?
Unachotaka kusema mtu akiwa na PhD basi kila anachosema/kufanya lazima awe amefanya utafiti?
Kama ndiyo hivyo wenye PhD kazi mnayo.
Hakikisheni kabla ya kusema chochote mpeleke utafiti wenu kwa YEHODAYA.
 
Kwa huu mwandiko haihitaji PhD kujua kama una furaha au hauna!
 
Kwa huu mwandiko haihitaji PhD kujua kama una furaha au hauna!
Waliomtunuku PhD na wenye PhD zisizo za makanisani wananielewa vizuri .PhD nje ya kanisa Ina hadhi kubwa na mwenye PhD akiongea lazima mtu umkubali kwa jinsi maneno yake yalivyosheheni takwimu .Hizo zenu za kanisani za kulala na kuota asubuhi ukiamka unasema nimeota watanzania hawana furaha bakini nazo humo humo makanisani
 
Nyie washabiki wa jiwe mnakazi sana, Mkisifiwa sio siasa mkikosolewa ndio inakuwa siasa.
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha

Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
 
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha

Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Mwambie Pengo, Nyaisonga, Kakobe, Upako, Malasusa na bakwata labda watakuelewa
 
Google utaipata,sio ya kupewa kama ya maganda ya korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…