mistari4G
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 554
- 652
PhD ya ndegeMwenye PhD before kutoa statement lazima awe na data reliable na verifiable huyo askofu Koko Na PhD yake Koko aondoe neno DR. Kwenye jina lake anadhalilisha digrii za Phd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD ya ndegeMwenye PhD before kutoa statement lazima awe na data reliable na verifiable huyo askofu Koko Na PhD yake Koko aondoe neno DR. Kwenye jina lake anadhalilisha digrii za Phd
Afu NA wewe hofu yako juu ya Askofu Pia huna Furaha. Uzuri mm nina demu anaitwa FurahaNilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Ukishawaona shehe Alhad na zuberi wanajibizana na yeyoye Mitandaoni Kama huyo askofu Koko Bagonza? Ulishawaona wakiongea hata na press Wakiwa na jazba Kama akina Bagonza? Kwenye uislamu hasa ule wa Bakwata wanakotokea hao wawili hekima na utulivu wa kuongea Ni kitu namba moja kinachosisitizwa kuanzia mtoto akiwa madrasa.Anaambiwa hata usome Hadi maka Kama huna hekima na utulivu kwenye kuongea ni bure kabisa uko sawa na asiyesoma.Chuo kilichomtunuku shehe alhad na zubery
Jamaa wa Lumumba wanapenda sana kulambwa makalio ndio maana wapuuzi kama Bashite wanaendelea kuotesha hips na makalio kila leo!Pengo na Sheikh Alhad Musa hawawatoshi kuwalamba makalio? Huyo askofu PhD hawezi kufanya upuuzi wenu wa kusifu na kuabudu.
Washabaki wanaendaje kushangilia mechi hali wanajua timu mojawapo imeweka mpira kwapani?Mkuu,tatizo sio kutoa maoni bali kutoa maoni kuhusu jamii fulani ambayo hayaakisi uhalisia wa jamii husika. Kwa yaliyojiri jana kwenye uchaguzi,inaonesha mchakato mzima haukuwafurahisha hata wanaccm walio wengi ndio maana hata hawakuitikia wito wa Pengo.
Tumekusoma kidumu cha Meko, maana Meko anaowengi mno ukiachana na mama Jeska!Wengine amewahonga mpaka Hotel pale Shekilango!Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
We mwenyewe unambeza Askofu huna furaha ndio maana umejibu kwa ghadhabuPhD isiyoongea kwa hoja zenye takwimu Kama ya Bagonza waweza iita PhD.? Kwa hoja hizi nyeupe zisizo.na takwimu waweza thubutu kumwita Bagonza kuwa Ni DR?
Mpaka watu waanze kuuana ndio muende kuwaomba maaskofu wawasaidie kwenye usuluishi?Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Kama askofu Bagoza anatakiwa kuimba taarabu, na yule kichaa Meko wa jumba jeupe si anatakiwa awe Temeke Mzimuni anaimba singeli????Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Nafasi zao ni mbili tofauti kabisa, majukumu ya huyo wa jumba jeupe akipewa huyo Baba askofu wa mkoa wetu wa Kagera hawezi kuyatimiza hata kwa siku moja tu.Kama askofu Bagoza anatakiwa kuimba taarabu, na yule kichaa Meko wa jumba jeupe si anatakiwa awe Temeke Mzimuni anaimba singeli????
Washabaki wanaendaje kushangilia mechi hali wanajua timu mojawapo imeweka mpira kwapani?
Hivi hali iliyopo Tz inahitaji utafiti? Mbona hata mimi nisiye na PhD sihitaji kufanya utafiti kuona hali ilivyo?Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Roboti liko online 24/7[emoji23]Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Kwa huu mwandiko haihitaji PhD kujua kama una furaha au hauna!Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Waliomtunuku PhD na wenye PhD zisizo za makanisani wananielewa vizuri .PhD nje ya kanisa Ina hadhi kubwa na mwenye PhD akiongea lazima mtu umkubali kwa jinsi maneno yake yalivyosheheni takwimu .Hizo zenu za kanisani za kulala na kuota asubuhi ukiamka unasema nimeota watanzania hawana furaha bakini nazo humo humo makanisaniKwa huu mwandiko haihitaji PhD kujua kama una furaha au hauna!
Ndio PhD Ni research.No research no right to speakUnachotaka kusema mtu akiwa na PhD basi kila anachosema/kufanya lazima awe amefanya utafiti?
.
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Mwambie Pengo, Nyaisonga, Kakobe, Upako, Malasusa na bakwata labda watakuelewaAskofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Google utaipata,sio ya kupewa kama ya maganda ya koroshoNilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable