Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Acha kuwaiga hawa wakina kawe Alumin, YEHODAYA nk. Uelewa wako lazima u appreciate maneno yenye kila muonekano wa kisomi nawe jibu hoja hiyo kisomi!
Mkuu umepatwa na nini hadi kuweka kapuni "weledi" wako? Au ndio kanuni ya huko uliko?
 
Huyu mtumishi wa Mungu ana mafumbo yasiyoeleweka.
Somo la mawasiliano hakuliewa .Kwenye communication message inatakiwa kuwa clear .Someone.hili la communication hufundishwa mwaka wa kwanza digrii zote.Sasa Kama Ana PhD na haeleweki Ni kuwa chuo kilimpa digrii mtu mwenye kichwa kitupu cheupe kisicho na ubongo ndani
 
Waliomtunuku PhD na wenye PhD zisizo za makanisani wananielewa vizuri .PhD nje ya kanisa Ina hadhi kubwa na mwenye PhD akiongea lazima mtu umkubali kwa jinsi maneno yake yalivyosheheni takwimu .Hizo zenu za kanisani za kulala na kuota asubuhi ukiamka unasema nimeota watanzania hawana furaha bakini nazo humo humo makanisani

Sasa sikiliza PhD ya nje ya kanisa.
PhD; Jengo la ghorofa unaweka lift?
Eng: Ni sheria kwa public building
PhD; Nyumbani kwako kuna lift?
Eng: Nyumba yangu siyo public building.
PhD: Kwani watu wa public hawaji kwako?

Hiyo ndiyo hadhi ya PhD ya nje ya kanisa unayosema?
 
Sio kila jengo.la ghorofa Lina lift waweza Jenga barabara ambayo viwete na baskeli zao waweza panda,kitanda Cha mgonjwa chenye magurudumu waweza tumia na magari ya wagonjwa yaweza tumia kupeleka mgonjwa ghorofa Lift sio universal law.
Hata nyumba binafsi waweza Jenga barabara ya kwenda ghorofani
 
Hii ni tofauti kidogo na mpira,kwenye mpira mpinzani asipotokea unapewa point zako na hakuna mechi. Kwa jana kuna maeneo kadhaa ambayo wapiga kura(wakiwemo wa ccm) walitakiwa kujitokeza kuchagua viongozi ndio maana hata pengo alihimiza watu wajitokeze lakini kinyume chake walimpuuza.
Kwahiyo, hawakujitokeza? Kura hazikupigwa? Uchaguzi uliahirishwa? Nisaidie kujua.
 
Sio kila jengo.la ghorofa Lina lift waweza Jenga barabara ambayo viwete na baskeli zao waweza panda,kitanda Cha mgonjwa chenye magurudumu waweza tumia na magari ya wagonjwa yaweza tumia kupeleka mgonjwa ghorofa Lift sio universal law.
Hata nyumba binafsi waweza Jenga barabara ya kwenda ghorofani
Naona unajifanya kama vile hujaelewa!!
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Sawa ukweli wa takwimu sahihi anazo Kardinali Polycard Pengo mkuu
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Comment yako ni data tosha kua hauna Furaha. Itafute kwanza furaha ndo uje uandike
 
Anakuwa kama yule Dr Shoo, kila kukicha manung'uniko na vijembe vingi. Uzuri ni kwamba JPM ana msimamo huwezi myumbisha kijinga tu.
Jpm kaingiaje Kwenye huu ujumbe wa baba askofu.
Au nyie ndo mnaharibu nchi kwa kivuli cha jpm
 
Mara nyingi mlevi huongea kile anacho kiamini na hata pombe ikiisha bado huwa si rahisi kubadilika badilika... ila tahira huwa hata hajui na hana uhakika na anacho kiongea sawa na hili bandiko lako
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
 
Hayo yote uliyohoji yalifanyika lakini tunaposema jambo limedorora/halikufurahisha haina maana halikufanyika 100%. Hapa tunafanya comparison na chaguzi zingine.
Kwahiyo, hawakujitokeza? Kura hazikupigwa? Uchaguzi uliahirishwa? Nisaidie kujua.
 
Back
Top Bottom