Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Acha kuwaiga hawa wakina kawe Alumin, YEHODAYA nk. Uelewa wako lazima u appreciate maneno yenye kila muonekano wa kisomi nawe jibu hoja hiyo kisomi!Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Mkuu umepatwa na nini hadi kuweka kapuni "weledi" wako? Au ndio kanuni ya huko uliko?