Acha kuwaiga hawa wakina kawe Alumin, YEHODAYA nk. Uelewa wako lazima u appreciate maneno yenye kila muonekano wa kisomi nawe jibu hoja hiyo kisomi!Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Hivi huyo jamaa analipwa kiasi pale Lumumba maana kutwa kucha yupo mitandaoni TuNaona uko kazini dogo
Injinia mkuuHiv nani mwenye furaha!?
Somo la mawasiliano hakuliewa .Kwenye communication message inatakiwa kuwa clear .Someone.hili la communication hufundishwa mwaka wa kwanza digrii zote.Sasa Kama Ana PhD na haeleweki Ni kuwa chuo kilimpa digrii mtu mwenye kichwa kitupu cheupe kisicho na ubongo ndaniHuyu mtumishi wa Mungu ana mafumbo yasiyoeleweka.
Thesis atakuwa aliiandikiwa Bagonza haonyeshi Kama ni PhD materialGoogle utaipata,sio ya kupewa kama ya maganda ya korosho
Madini aliyonayo hakuna lumumba nzima mwenye nayoThesis atakuwa aliiandikiwa Bagonza haonyeshi Kama ni PhD material
Yasiyokuwa na takwimu!!!!!Madini aliyonayo hakuna lumumba nzima mwenye nayo
Waliomtunuku PhD na wenye PhD zisizo za makanisani wananielewa vizuri .PhD nje ya kanisa Ina hadhi kubwa na mwenye PhD akiongea lazima mtu umkubali kwa jinsi maneno yake yalivyosheheni takwimu .Hizo zenu za kanisani za kulala na kuota asubuhi ukiamka unasema nimeota watanzania hawana furaha bakini nazo humo humo makanisani
Sio kila jengo.la ghorofa Lina lift waweza Jenga barabara ambayo viwete na baskeli zao waweza panda,kitanda Cha mgonjwa chenye magurudumu waweza tumia na magari ya wagonjwa yaweza tumia kupeleka mgonjwa ghorofa Lift sio universal law.Sasa sikiliza PhD ya nje ya kanisa.
PhD; Jengo la ghorofa unaweka lift?
Eng: Ni sheria kwa public building
PhD; Nyumbani kwako kuna lift?
Eng: Nyumba yangu siyo public building.
PhD: Kwani watu wa public hawaji kwako?
Hiyo ndiyo hadhi ya PhD ya nje ya kanisa unayosema?
SpeechYasiyokuwa na takwimu!!!!!
Kwahiyo, hawakujitokeza? Kura hazikupigwa? Uchaguzi uliahirishwa? Nisaidie kujua.Hii ni tofauti kidogo na mpira,kwenye mpira mpinzani asipotokea unapewa point zako na hakuna mechi. Kwa jana kuna maeneo kadhaa ambayo wapiga kura(wakiwemo wa ccm) walitakiwa kujitokeza kuchagua viongozi ndio maana hata pengo alihimiza watu wajitokeze lakini kinyume chake walimpuuza.
Naona unajifanya kama vile hujaelewa!!Sio kila jengo.la ghorofa Lina lift waweza Jenga barabara ambayo viwete na baskeli zao waweza panda,kitanda Cha mgonjwa chenye magurudumu waweza tumia na magari ya wagonjwa yaweza tumia kupeleka mgonjwa ghorofa Lift sio universal law.
Hata nyumba binafsi waweza Jenga barabara ya kwenda ghorofani
Kama vile Kardinali Polycard Pengo wa RCAskofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Sawa ukweli wa takwimu sahihi anazo Kardinali Polycard Pengo mkuuNilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Comment yako ni data tosha kua hauna Furaha. Itafute kwanza furaha ndo uje uandikeNilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Jpm kaingiaje Kwenye huu ujumbe wa baba askofu.Anakuwa kama yule Dr Shoo, kila kukicha manung'uniko na vijembe vingi. Uzuri ni kwamba JPM ana msimamo huwezi myumbisha kijinga tu.
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Kwahiyo, hawakujitokeza? Kura hazikupigwa? Uchaguzi uliahirishwa? Nisaidie kujua.