Jiwe limempata mtu gizani.Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Umemjibu vizuri sana huyu Nunda na mimi nipo hapa nasubiri akujibu.Mkuu kwa sura hii hii,bila kujali ulichokiongea ni kweli ama laa. Naomba unipe tathmini ya PhD ya 'mkulu' huku ukihusianisha na matamko,hatua na miongozo anayoitoa kila siku kwenye uwajibikaji wake,na mwisho uhitimishe kama PhD yake inajidhihiri ndani yake ama?
Ha haha! Umezungumzia takwimu umenikumbusha zamani sanaMuonekano wa kisomi sio kuvaa joho la PhD na kofia la PhD ni takwimu kwenye hoja
Hebu nikuulize swali ndugu,hivi wewe ni ke au me? Huwa nakutafakari mpaka akili inagota! Huo waraka umeusoma na kuuelewa? Upo Kama mke mwenza ambaye haoni lolote jema la mke mwenzie,hivi kati yako na Askofu Bagonza ni Nani mchumia tumbo? Sheria ya manunuzi ilifuatwa kwenye kununua hizo ndege vinazokamatwa kila kukicha? Budget ya Chato international airport ilipitishwa na Bunge lipi? He pesa alizikuwa anahonga Mnyeti ma diwani wa Arumeru alikuwa anatoa wapi? Mwisho kabsa kosa la aliyekuwa CAG prof Assad ni lipi? Naomba majibuAskofu boganza amekuwa mtu wa kupigania Tumbo lake
Anaongea mihemuko ya kisiasa akasahau kuhudumia wakristo wanaomlipa mshahara
Ha haha! Umepanick eeeh!mamako kijijini kwenu[emoji3][emoji3]
Angalia usije kutajiwa mtu mkaanza kurusha ngumi!Ndio PhD Ni research.No research no right to speak
Mkuu Danny umenifurahisha....Yaani kila uzi ukosekani, ni kama majani ya chai kwenye maduka ya rejareja.
Unacho-comment sasa, shetani ndiye anajua.
Njaa yako wewe si iko kichwani?Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Mwenyekiti wako ana PHD ya kufoji,wewe mwenzangu na mimi ngumbaro,unawezaje kumkosoa baba askofu mwenye PHD ya ukweli?Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Hata PENGO naye hana furaha? sasa umefika wakati Ruanchi afungue kinywa chake ili tumjue mapema kama ni galasa au tulufu?Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha
Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Umemjibu vizuri sana huyu Nunda na mimi nipo hapa nasubiri akujibu.
PhD ya ukweli haijulikani kwa kunyanyua cheti Cha PhD juu Kama cheti Cha kumaliza elimu ya msingi .PhD inadhibitishwa kwa performance Mfano mwenye PhD ya ukweli akiongea dakika tu unamjua huyu Ni original au Dr feki.Mwenyekiti wako ana PHD ya kufoji,wewe mwenzangu na mimi ngumbaro,unawezaje kumkosoa baba askofu mwenye PHD ya ukweli?
Ha haha! Umepanick eeeh!
Aisee!!!hapo ni piga nikupige.Sasa sikiliza PhD ya nje ya kanisa.
PhD; Jengo la ghorofa unaweka lift?
Eng: Ni sheria kwa public building
PhD; Nyumbani kwako kuna lift?
Eng: Nyumba yangu siyo public building.
PhD: Kwani watu wa public hawaji kwako?
Hiyo ndiyo hadhi ya PhD ya nje ya kanisa unayosema?
Kuelewa alichokisema Askofu Bagonzi unahitajika kuwa na akili angalao ile ya kawaida. Usipokuwa nayo huwezi hata kumwelewa.Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Wewe ulitaka awe Askofu wa kutrka watu? Kitendea kazi kikubwa cha mtumishi wa Mungu, ni mdomo wake, siyo miwani myeusi au nissani nyeupe.Huyu askofu akachukue fomu pale ufipa aingie mazima, asihangaike na matamko yake ya kinjaa njaa, amekua askofu wa matamshi sijui anasali sangapi uyu mpinzani wa Dini na siasa
Unaonekana Kada mwenzangu na wewe hauna FURAHA..ππππNilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
NI katika kuweka mantiki katika ujenzi wa hoja.Jpm kaingiaje Kwenye huu ujumbe wa baba askofu.
Au nyie ndo mnaharibu nchi kwa kivuli cha jpm