Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Jiwe limempata mtu gizani.
 
Mkuu kwa sura hii hii,bila kujali ulichokiongea ni kweli ama laa. Naomba unipe tathmini ya PhD ya 'mkulu' huku ukihusianisha na matamko,hatua na miongozo anayoitoa kila siku kwenye uwajibikaji wake,na mwisho uhitimishe kama PhD yake inajidhihiri ndani yake ama?
Umemjibu vizuri sana huyu Nunda na mimi nipo hapa nasubiri akujibu.
 
Askofu boganza amekuwa mtu wa kupigania Tumbo lake

Anaongea mihemuko ya kisiasa akasahau kuhudumia wakristo wanaomlipa mshahara
Hebu nikuulize swali ndugu,hivi wewe ni ke au me? Huwa nakutafakari mpaka akili inagota! Huo waraka umeusoma na kuuelewa? Upo Kama mke mwenza ambaye haoni lolote jema la mke mwenzie,hivi kati yako na Askofu Bagonza ni Nani mchumia tumbo? Sheria ya manunuzi ilifuatwa kwenye kununua hizo ndege vinazokamatwa kila kukicha? Budget ya Chato international airport ilipitishwa na Bunge lipi? He pesa alizikuwa anahonga Mnyeti ma diwani wa Arumeru alikuwa anatoa wapi? Mwisho kabsa kosa la aliyekuwa CAG prof Assad ni lipi? Naomba majibu
 
Elli,
Bagonza katumia kipimo gani kujua kuwa watu hawana furaha? Ajisemee yeye mwenyewe kuwa hanafuraha maana sadaka kutoka kwa biashara ya madawa ya kulevya imeisha awamu hii. Viongozi wa dini kama wakina Bagonza wanashindwa kuendeleza biashara na miradi yao. Hana furaha. Hivyo hasira zote anazielekeza kwa serikali ya awamu ya tano - akitumia cheap politics za mitandaoni.

Angekuwa na la maana kwanini asilipeleke serikalini au kwenye wanao husika kuliko mitandaoni. Mtu anayeongoza wananchi kwa kiwango cha Adkofu mkuu atakuwa anajua kwamba njia anayoktumia kulalamika siyo sawa sawa. Na Hasa anataka kubadili nini?
 
Viva baba Askofu na viongozi wote wa KKKT na makanisa ya kipentekosti!!

Miaka ya nyuma maaskofu na mapadre wa kanisa katoliki walikuwa wanasifika kuwa ni wasomi na wenye elimu kumbwa ya Mungu na duniani pia. Hata waumini wao walitembea vifua mbele kujivunia na kuwategemea viongozi wao badala ya kumtegemea Mungu. Ulikuwa jambo la kawaida muumini wa kanisa katoliki kutojua bibilia kabisa na akajiona bado yuko kwenye njia sahihi kutokana na viongozi wao.

Miaka hii mambo yamebadilika, maaskofu na mapadre wa kanisa katoliki ndiyo vibaraka na kichaka cha shetani. Hapa kwenye kichaka cha shetani kimezidi kwani toka hapo nyumba walishakuwaga maswahiba na shetani.

NB: Mimi pia ni mkatoliki aliyechoshwa na unafiki wa viongozi wake wa dini.
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Mwenyekiti wako ana PHD ya kufoji,wewe mwenzangu na mimi ngumbaro,unawezaje kumkosoa baba askofu mwenye PHD ya ukweli?
 
Askofu Bagonza nyie ndio mna jukumu lukufanya Watanzania wawe na Amani na furaha

Ila mmeacha kazi yenu mmegeukia siasa za tumbo
Hata PENGO naye hana furaha? sasa umefika wakati Ruanchi afungue kinywa chake ili tumjue mapema kama ni galasa au tulufu?
 
Mwenyekiti wako ana PHD ya kufoji,wewe mwenzangu na mimi ngumbaro,unawezaje kumkosoa baba askofu mwenye PHD ya ukweli?
PhD ya ukweli haijulikani kwa kunyanyua cheti Cha PhD juu Kama cheti Cha kumaliza elimu ya msingi .PhD inadhibitishwa kwa performance Mfano mwenye PhD ya ukweli akiongea dakika tu unamjua huyu Ni original au Dr feki.
Mwenye PhD feki utamwona wazi mpe hata dakika kumi aongee free utajua huyu Hana Cha PhD Wala Nini.

Bagonza Ni one of them who has questionable Phd .What he writes is not a PhD material
 
Sasa sikiliza PhD ya nje ya kanisa.
PhD; Jengo la ghorofa unaweka lift?
Eng: Ni sheria kwa public building
PhD; Nyumbani kwako kuna lift?
Eng: Nyumba yangu siyo public building.
PhD: Kwani watu wa public hawaji kwako?

Hiyo ndiyo hadhi ya PhD ya nje ya kanisa unayosema?
Aisee!!!hapo ni piga nikupige.
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Kuelewa alichokisema Askofu Bagonzi unahitajika kuwa na akili angalao ile ya kawaida. Usipokuwa nayo huwezi hata kumwelewa.
 
Huyu askofu akachukue fomu pale ufipa aingie mazima, asihangaike na matamko yake ya kinjaa njaa, amekua askofu wa matamshi sijui anasali sangapi uyu mpinzani wa Dini na siasa
Wewe ulitaka awe Askofu wa kutrka watu? Kitendea kazi kikubwa cha mtumishi wa Mungu, ni mdomo wake, siyo miwani myeusi au nissani nyeupe.
 
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?

PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations

Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Unaonekana Kada mwenzangu na wewe hauna FURAHA..😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom