Masiha atafundisha kwa mithali ili wasikie lakini wasielewe, watazame lakini wasione, bali wale tu waliojaliwa hekima ya Mungu.Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Ni mipasho tu mkuu Bams mwenye akili nyingi.Masiha atafundisha kwa mithali ili wasikie lakini wasielewe, watazame lakini wasione, bali wale tu waliojaliwa hekima ya Mungu.
Lugha anayoitumia Askofu Bagonza kufikisha ujumbe wake kwa watu, inaeleweka kwa wale tu waliojaliwa hekima ya Mungu. Kwa wasio na akili, wenye roho ya shetani, japo neno lake litawachoma lakini halitawasaidia chochote maana wao wana nadhiri na Kuzimu.
Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Wewe ni miongoni mwa watu wasio na furaha. Calm down, umepanic mzee!!!Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable
Kweli hilo ni tatizo la MILENIA maana kwa bahati mbaya sana tuliyonayo watanzania hakuna hata mmoja anayeweza kumshauri hasa anapokua keshaaamua jambo lake, hata liwe la kipuuzi.Yes angalau kwenye uwaziri anakuwa na watu juu yake kumcheck anapokosea ila kwa hapo alipo duh ni tatizo aisee.
Ana PhD kama ya kabudi?Nilishawahi sema PHd ya Bagonza Ni feki .Huo utafiti wa wasio na furaha nchi nzima kaufanya wapi?
PhD kazi yake ni kushusha takwimu sio hisia au halucinations
Chuo gani kilimtunuku hiyo PhD? Anaongea Kama mlevi Hana takwimu hata moja veriafiable na reliable