Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Masiha atafundisha kwa mithali ili wasikie lakini wasielewe, watazame lakini wasione, bali wale tu waliojaliwa hekima ya Mungu.Askofu Bagonza mipasho mingi, inabidi akutanishwe na waimba taarabu ili wajipange waone namna ambavyo anaweza kuanzisha bendi ya taarab, nahau anazo nyingi misemo anayo mingi.
Lugha anayoitumia Askofu Bagonza kufikisha ujumbe wake kwa watu, inaeleweka kwa wale tu waliojaliwa hekima ya Mungu. Kwa wasio na akili, wenye roho ya shetani, japo neno lake litawachoma lakini halitawasaidia chochote maana wao wana nadhiri na Kuzimu.