Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baba Askofu amesema amefurahishwa sana na ziara ya kibinadamu iliyojaa utu inayofanywa na viongozi wa Bavicha ya kutembelea Magereza za Tanzania kwa lengo la kuwasalimia na kuwapa moyo Wafungwa na Mahabusu waliowekwa selo kwa miezi mingi kwa tuhuma za uongo za kisiasa zilizoshinikizwa kinyama na viongozi kwa lengo la kuwakomesha Waliounga mkono Chadema.
Baba Askofu ataungana na Bavicha kwenye mfululizo wa ziara hizo Mkoani Mara.
Baba Askofu ataungana na Bavicha kwenye mfululizo wa ziara hizo Mkoani Mara.